Royal Son JF-Expert Member Dec 22, 2016 587 974 Jun 17, 2017 #5 Bila shaka wewe utakuwa muslim weww umeshindwa na Makinia unatuletea ya Wayahudi na ndugu zake
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,553 9,530 Jun 17, 2017 #6 Wanajuana Hao Yalimshinda Ytizakh Rabin Akauwawa Sisi Tufanyeje Yasser Arafat Naye Yalimshinda
adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,035 15,540 Jun 17, 2017 #7 hii vita haitakuja kuacha mtu salama
marcus rojo JF-Expert Member Mar 19, 2017 1,496 5,317 Jun 17, 2017 #8 Vita ya kupigana na Israel sitaki kabisa hata kuisikia