Current news:walimu wapya mwaka huu hakuna pesa ya mizigo na wategemezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Current news:walimu wapya mwaka huu hakuna pesa ya mizigo na wategemezi.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Polite, Feb 13, 2012.

 1. Polite

  Polite JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 2,627
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  Kuna pesa ya nauli tu.source=kikao kati ya walimu wapya na mkuu wa wilaya,kaimu mkurugenzi na afisa elimu mwanza jiji
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Na nyie sasa fanyeni kama doctors!!!msitishie!!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,424
  Likes Received: 19,747
  Trophy Points: 280
  mkigoma wanafunzi wanafurahia...japo zero zitaongezeka.
   
 4. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko yapo lakini cyo kuondoa kabisa! Nimpaka mzigo uonekane halafu uczidi 1.5 tones kwa new appointees. Ukizidi, unapewa gari na halmashauri! Swali langu ni je iwapo wote mizigo imezidi watapewa magari hata kama kwao ni mbali sana? Ah mi cjui bana. Fomula ni (1.5 tones *1000*number of kms) ACHENI UJINGA WALIMU. FIGHT PLZ! OOHOO!
   
 5. Polite

  Polite JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 2,627
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  wanasema mwaka jana watu walileta document za uongo so ziliwasumbua mpaka polisi, eg mtu kahamisha chumba,yani tunakomaa kwa mkuu wa mkoa every moment
   
Loading...