"Cum' on spaida",MMU babu of the year!!Aspirin v/s Dark city!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,707
Kwanza natoa heshima zangu za hali ya juu kwa ODM na DC!Babu zangu wa ukweli!Naona kama hamjatendewa haki kutokuwekewa category yenu spesheli kwa ajili yenu na babu wote wa JF kwa hekima zenu zisizopimika,nasema hayo kwa sababu nyie mkishindanishwa na vijana na watu wazima wa JF mtakua mmeshinda tayari!!Sijaona kama wapo wakuwashindanisha na nyie!Hekima na busara zenu ni za hali ya juu!Plz spaidaman weka category ya hawa watu!Mtazamo wangu huu!
 
Ooops!!Very sory,supaman not spaidaman!Hii w/end vipi?
 
na baba canta a.k.a mtambuzi? isn't he in the same league na hawa watukuka?
 
Kwanza natoa heshima zangu za hali ya juu kwa ODM na DC!Babu zangu wa ukweli!Naona kama hamjatendewa haki kutokuwekewa category yenu spesheli kwa ajili yenu na babu wote wa JF kwa hekima zenu zisizopimika,nasema hayo kwa sababu nyie mkishindanishwa na vijana na watu wazima wa JF mtakua mmeshinda tayari!!Sijaona kama wapo wakuwashindanisha na nyie!Hekima na busara zenu ni za hali ya juu!Plz spaidaman weka category ya hawa watu!Mtazamo wangu huu!

Mkuu, Kwanza mimi si Spiderman ni SUPERMAN. Spiderman ni cha Mtoto kwangu hawezi akafika Level hata siku moja.

Pili hoja yako ina upako, ila shida ni kuwa maombi kama hayo ya Categories ni mengi sana. Kutokana na Ukwasi wa Tume (JEC) ambayo inapewa mgao kutokana na kodi za Wana JF, hatuna fungu la kutuwezesha kushindanisha category hiyo. Hata hivyo siku za mbeleni na Bajeti ikiruhusu tutalifikiria bila shaka. Lipeni michango yenu JF.

Wasalaam Superman.
 
Back
Top Bottom