Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,007
Aliukataa utajiri wa Baba yake na kuamua kuishi maisha ya kifukara...aliwaza Mbingu kuliko Dunia.Then ukiniuliza My favorite saint katika Kanisa katoliki nitamtaja Franciss wa Asizi. Jamaa aliamini kwamba kila kiumbe kuanzia miti,wadudu na wanyama wameumbwa kwa mfano wake Mungu. Hivyo basi viumbe vyote vinahaki ya kuishi na kupata wokovu wa Mungu, yeye alikua anaihubiria miti, alihubiria wadudu na wanyama mbalimbali. Hadi upepo alikua anauhubiria neno la Mungu aliwaita ndugu zake.
Jua aliliita kaka na mwezi aliuita dada.. Namkubali sana huyu mtu pamoja na Saint Augustine
Baba yake alikua mfanya biashara mkubwa hata Nina Fransisco alipewa kutokana na nchi ya France ambayo baba yake alifanikiwa sana kibiashara.
Kuna chama cha kitume ndani ya Roman Catholic kinaitwa Wafransisco pia kuna Mapadre wakapuchini pia kuna masista waclara....hawa wote hufuata miongozo ya maisha ya Mwamba St Fransisco wa Asis....husalimiana "Amani na Salama" na majibu huwa "Amani na Salama"
Huyu mwamba ni definition ya neno "Utakatifu"