Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jurjani anakupiga changa la macho...Ok hapo nimeelewa sasa kiongozi.. Nilijua nimuislam huyu mwamba
Unaleta mjadala ndani ya mjadala....Unajua kuna muda kuacha upotevu unaenezwa ni tatizo kubwa sana. Kuna swali nimekuuliza umelikimbia. Hamza Yusuf ni Sufi na anawaita watu katika Usufi, yaani ni mzushi.
Uliza wanafunzi wakiingia katika madarsa katika chuo cha Zaytun wanafanya matendo gani ?
Yeye anasemaje kuhusu kuwafundisha watu somo la Itikadi ? Sasa sisi tunamkataa kwa upotofu wake na si dhati yake. Yaani anapingana na mafundisho sahihi ya Uislamu.
Tukirudi kwa Thomas,kwangu mimi huyu si mtu mwenye akili, sababu alikosa ala za kuujua ukweli kama walivyo kosa kina Aristoto, Plato na Wanafalsafa wengine.
Better late than neverI'm sorry sikutimiza ahadi ya kupost juzi saa sita
Gracias El commandante...Gracias amigos
😍😍Mkuu nondo yako imeshibaa
Unatakiwa uwe unatunza kumbukumbu, hakuna sehemu niliyosema Masufi si Waislamu, bali kuna sehemu niliyo sema Avecenna hakuwa Muislamu na kuna sehemu kadhalika nilisema Mashia siyo Waislamu. Sasa onyesha wapi nilisema Masufi siyo Waislamu ?Ulisema Masufi si waislam.....na Shaykh Hamza Yusuf Si Ulamaa....
Shida kubwa ni kuwa wazee wetu hawakuwa na utamaduni wa kutunza kumbukumbu, haya mambo huenda kwa kurithishana.Tungekua tunaitafuta historia ya kina Chief mkwawa, Mwana malundi etc. Kama hivi tungekua mbali sana.
Tamko Ulamaa lina asili ya Kiarabu, na mjengeko wake wa kisarufi una maana ya kuchuoa mpaka, yaani kama kitu kizuri basi ni kizuri sana,au kibaya basi ni kibaya sana au Muongo basi ni Muongo sana,katika Istilahi ya Nahau ya Kiarabu huingia katika kundi liitwalo "Ismul al Mubalagha". Tukirudi katika tamko "Ulamaa" ni mjuzi sana wa jambo fulani, na hasa hutumika katika Ulimwengu wa Dini, ya kuonyesha anayekusudiwa au kuegemezeaa sifa ni mjuzi sana wa jambo la Dini au Dini.P
Nini maana ya ulamaa kiongozi
Kuweka wazi jambo ambalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili.Mzee MAJITAPO...hebu anzisha THREAD juu ya MASUFI uone Kama SITOUWEZA huo MJADALA usemao kuwa UTANISHINDA....
Hamza Yusuf si Ulamaa.Shaykh Hamza Yu
World religions ilinipa effects sn huwa siend kanisan tena toka nmalize chuo nazan hum jf nlidokeza wiki jana.Hapana Kiongozi sijapita seminarini kabisa..
Ila ukisoma World religions hatari sana unaweza ukayumba imani yako
Hahahaha, kumbe nawe umemsoma eeh ,nasubiri akujibu shida nnDa Vinci bhana na kubadilisha majina
Shida Nini mwanangu
Wakati fulani ukisoma falsafa za watu mbalimbali, kwa kawaida utapatwa na mvuto wa aina yake.Ukisoma falsafa za Karl max utaishia kuwehuka mkuu..sio mtu poa kabisa na imani yako. Inatakiwa uwe mkomavu kiimani kumsoma