Cuil - New Search Engine to rival Google | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuil - New Search Engine to rival Google

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dua, Jul 28, 2008.

 1. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2008
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ex-Google staff launch rival search engine, Cuil

  The new site promises better results by scouring a larger index of web pages than Google, but experts are cautious about its prospects


  The game is on and I like it search it HERE
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wacha tuijaribu maanake wengi wamekuja na vi search engine vyao fake
   
 3. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  am sure this will work out..
   
 4. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nimeijaribu tangu juzi, not impressed.Halafu that dark shyt is not for me.Reminds me of anorexic punk rockers and fake gory movie lovers.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jul 30, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  wangeitoa hiyo rangi nyeusi.... utadhani mtu unasearch site ya pono...
   
 6. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  The opening page its a bit funny...you dont have enough options kama search engine nyingine...

  For exaple google or yahoo, you have lot options..on the opening page i.e web, images,maps,news,shopping,mail,video,groups,books e.tc..and with 'em you can easly go back and seach again without breaking b*lls.

  Cuil people need to go back to labs.
   
 7. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2008
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Hiyo Cuil haina lolote. Haiwezi kufua dafu kwa google. Hawakujiandaa vema kabla ya kuianzisha
   
 8. Typical

  Typical JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 261
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Haivutii sana,ila ngoja tuicheck check.
  Hawa jamaa wanatumia hii mbinu kujitambulisha tu! ila bado hawako that good
   
 9. C

  Chuma JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Vijana acheni uzembe kufikiri...ukianzisha kitu unahitaji kuwa sawa na Mwingine? au nyie ndio wale wenye thinking za kuwa "HATUWEZI" ...au mshazoea kopy na paste style?....binafsi naipenda Google, lkn still hawa Jamaa wa Cuil wata grow tu as Google did? kwani Google hizo Options walikuwa nazo toka mwanzo? Walikuwa wanamove kadri siku zinavyokwenda Mbele....

  Pia Ogopeni sawa Ex-employee....Wale wanaosome Security watakubaliana nami.

  Duniani tuna utamaduni kuwa kitu kipya watu wanaogopa kutumia...umewaona wangapi wakiiponda VISTA?...pia tuna culture ya kutokubali mabadiliko...like CCM wanavyoogpa Mabadiliko....WE NEED CHANGE....Hatutaki MONOPOLISM
   
 10. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Watch this page,

  I predict Cuil will fade into oblivion.
   
 11. C

  Chuma JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pundit...hakuna aliefikiria kuwa kuna Giant atakuja kuwa-beat Yahoo au Microsoft....hata boss wa yahoo awali aliwadharau Jamaa wa Google, lkn what happened?

  Bahati Nzuri wenzetu wanapokuwa Vyuoni wanafikiria ku-develop something new...sie tukiwa Vyuoni...wajua tunafikiria nini.... Ukiwa Ulaya unasoma unakwenda mbio ufanye kazi uwasaidie nduguzo...mda gani wa kufikiria? ukiwa Bongo ndo kabisaa...kuanza migomo, kujazana wanafunzi darasani, vifaa na competency ya waalim wetu...Waalim wetu nao wanafikiria kufundisha Tuition zao town kama sekondari ili kujiongezea kipato...na wengine wamekuwa na Miradi ya Daladala kama wazee walistaafishwa Makazini!!! muda gani watafikiri ku-innovate
   
 12. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  thanks for introduction, I've tried it...but not impressed, going back to google I wish them all the best in making it better, I think of it very positively though
   
Loading...