CUF's letter to JK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
CUF's letter to JK

By Polycarp Machira
THE CITIZEN

The opposition Civic United Front yesterday disclosed that they had sent a letter to President Jakaya Kikwete asking him to personally spearhead the Zanzibar Mwafaka talks, but a State House official denied receiving any such communication from the party.

CUF official Ismail Jussa Ladhu said they hand delivered the letter to State House, Dar es Salaam, a day after President had urged representatives of the opposition party and the ruling Chama Cha Mapinduzi to resume the stalled talks on the Zanzibar political crisis.

Mr Ladhu said CUF saw President Kikwete's personal intervention as the only way to jumpstart the negotiations and ease the mounting political tension in the Isles.

The CUF assistant secretary for Foreign Affairs and International Relations said the letter was sent to State House in on May 16.

Following President Kikwete's appeal on May 15, urging the Mwafaka negotiating teams to resume talks and push the process forward, the letter was delivered the following morning, he added.

The letter, Ref. No. CUF/AK/CCMII/2008/010, had been written well in advance, on May 8, but was delivered a week later for reasons that the party would not divulge.

In the letter we asked Mr Kikwete, as the Union President, to take the lead in bringing together Mr Amani Abeid Karume and Maalim Seif Sharif Hamad to the negotiating table, said Mr Jussa.

But State House communications director Salva Rweyemamu had earlier in the morning told a press conference at State House that CUF had not made any formal appeal to the President over the stalled talks.

Fielding questions from journalists during the second weekly State House press briefing, Mr Rweyemamu said: The President has not received any formal request from CUF to intervene.

He said that according to the initial agreement, the Mwafaka talks were to be spearheaded by the two party secretaries-general, Mr Yusuf Makamba (CCM), and Mr Hamad. The President, he said, gave the two a freehand to deal with the matter.

Reporters had asked for State House's response to the appeal by CUF to President Kikwete to lead the talks, just the way he intervened and enabling the signing of a power sharing pact in Kenya between President Mwai Kibaki and Mr Raila Odinga, now the Prime Minister.

CUF said the President had failed to demonstrate that charity begins at home as he neglected his own backyard while pushing for a peace deal between his Burundi counterpart, Mr Pierre Nkurunzinza, and Mr Agathon Rwasa of the PALIPEHUTU-FNL rebel group.

Yesterday, Mr Jussa revealed that the letter was delivered to State House and a delivery book signed by an employee to acknowledge receipt. But the party had not got any feedback, he said.

As part of his principal duties, the President has to step in when the talks are being derailed in this manner as it is clear that both parties do not now trust each other, he said, adding that a copy of the letter signed by Mr Hamad, was also sent to the CUF chairman, Prof Ibrahim Lipumba.

Mr Jussa said that due to the importance the party attached to the Mwafaka talks, they had decided to remind the President of the need to solve the political crisis facing the nation.He added that with or without any request from any party, the President has an obligation to ensure peace and stability, adding that failure to intervene would put the country at risk.

But with CUF still waiting for Mr Kikwete's move, President Karume, addressing a press conference at State House in Zanzibar on Monday, declared that he would not share power with the opposition party as I fairly won the 2005 elections.

Mr Karume, addressing his first press conference since the Mwafaka talks stalemate, said CUF must recognise him as President before I can entertain any thoughts of meeting Maalim Seif for ordinary talks. He ruled out the holding of talks on a possible coalition government.

Yesterday, Mr Jussa announced that CUF would hold a press conference tomorrow to give its response to the remarks by President Karume.

Meanwhile, a University of Dar es Salaam political science lecturer, Prof Mwesiga Baregu, yesterday criticised President Karume, saying as that as a leader, he ought to have been more diplomatic instead of portraying his anger in public.

Speaking to The Citizen by telephone, Mr Baregu accused President Karume of using impolite language that simply shows he is not ready for a compromise, and is keen on driving Zanzibar towards doom.

Another scholar, Prof Issa Shivji, said in Dar es Salaam that the longer the ruling party, CCM, dillydallied with the peace process, the more things are getting out of control.Prof Shivji, speaking to The Citizen by telephone, said the Government should ensure that the Mwafaka talks continue for an agreement to be reached soon.

CUF has accused Mr Karume of being the stumbling block in the Mwafaka talks. The party wants a power sharing deal in a government of national unity ahead of 2010 General Elections, but CCM says that the decision must be made in a referendum for Zanzibaris to determine how they want to be governed.

Last Thursday, while appealing to CCM and CUF to end the two-month Mwafaka talks standoff, President Kikwete told the leaders of both parties to end public posturing and revive the talks.
 
Kutokukubaliana kwa CUF na CCM Zanzibar ni symptom ya ugonjwa ambao pande zote mbili zinasita kuuanzishia mjadala.maana ya MAPINDUZI ndio tatizo la msingi. Kama CCM na CUF Zanzibar watakuwa tayari kuanza mjadala juu ya Mapinduzi then kuna uwezekana wa mwafaka kupatikana. Lakini iwapo wataendelea kujifanya hawaelewi tatizo hili na kusingizia matokeo ya uchaguzi au kutokutambuana basi kila siku kutakuwa na another distruction katika process ya kutafuta muafaka kwa mazungumzo.
 
Kutokukubaliana kwa CUF na CCM Zanzibar ni symptom ya ugonjwa ambao pande zote mbili zinasita kuuanzishia mjadala.maana ya MAPINDUZI ndio tatizo la msingi. Kama CCM na CUF Zanzibar watakuwa tayari kuanza mjadala juu ya Mapinduzi then kuna uwezekana wa mwafaka kupatikana. Lakini iwapo wataendelea kujifanya hawaelewi tatizo hili na kusingizia matokeo ya uchaguzi au kutokutambuana basi kila siku kutakuwa na another distruction katika process ya kutafuta muafaka kwa mazungumzo.

Hawa CUF wanawabembeleza nini CCM - lililobaki ni kuwaacha wakamaliza miaka yao miwili na hivi sasa ni kupanga mikakati cha nini la kufanya 2010 - hata kama itabidi kungiana maungoni lakini lijulikane moja.

Mazungumzo, muafaka, kuelewana huo si msamiati wa CCM Zanzibar.
 
Nina wasi wasi kuwa safari hii kutokana na jeuri alioonyesha Karume na genge lake kule Butiama basi hawa nao wataonyweshwa Jeuri katika uchaguzi ujao ,lazima Kikwete ataijibu jeuri ile pasina shaka kwa kasi na ari ,kama kusoma basi Kikwete ameshawasoma watu hawa kuwa sio tu hawana maslahi kwa Zanzibar bali hata maslahi kwa Tanzania bara hawana.
Kinachofanyika ni kwa Kikwete kujenga mtandao imara Tanganyika ambao utampatia ushindi ndani ya Chama chake bila ya kutegemea asilimia ya kutoka kundi la Unguja.
Lazima Kikwete alipe jeuri ya kundi hili ,si wanadai na kusema hadharani kuwa warudishiwe ASP kwa nguvu gani walizo nazo watu hawa huko Zanzibar.
Ushauri wa wazi wa Kikwete utakuja baadae japo inawezekana amekwisha pata dawa na njia za kuaonyesha ujeshi aikina karume.
 
Mahita , Mkapa na CCM waroho waliwachafua sana CUF wakasema ni wahuni , wakasema mujahidina , wakasema magaidi nk .Lakini CUF sasa inaonyesha kwamba madai yote yalikuwa ni ya kisiasa na wanaonyesha uongozi .Ndiyo maana nadhani CUF waendelee kuweka ushahidi na historia inajiandika .

JK akitaka kuwamaliza akina Karume ni kuacha kupeleka polisi wala Usalama wa Taifa ama majeshio kuipigia CCM kura kule Zenji na hapo watachoka kabisa wenyewe .CUF itakingia madarakani bila ya hata Seif .CUF kama walikuwa na kura za maruhani naamini wanaweza kumpa yeyote uongozi ndani ya CUF na si lazima Seif .Tena wanazidi kuwakamata na kuwatesa namna hii ? JK lazima aache unafiki na awe real awaachie aone kama wataona ndani katika uchaguzi ujao .
 
Hawa CUF wanawabembeleza nini CCM - lililobaki ni kuwaacha wakamaliza miaka yao miwili na hivi sasa ni kupanga mikakati cha nini la kufanya 2010 - hata kama itabidi kungiana maungoni lakini lijulikane moja.

Mazungumzo, muafaka, kuelewana huo si msamiati wa CCM Zanzibar.

Ushauri ni mzuri sana Mkuu ila sasa watamweka wapi Seif maana ni CCM damu?
 
In the letter we asked Mr Kikwete, as the Union President, to take the lead in bringing together Mr Amani Abeid Karume and Maalim Seif Sharif Hamad to the negotiating table, said Mr Jussa.

Kwa hiyo tatizo sio CUF na CCM ni Maalimu Seif na Dr. Aman Abeid Karume?
 
Kwa hiyo tatizo sio CUF na CCM ni Maalimu Seif na Dr. Aman Abeid Karume?

Kasheshe tunajua upo kazini .Umebana sana lakini umeshindwa .Soma tena na haya yote mnayaleta nyie ambao hamtaki amani .Mara Seif mara mapinduzi .Mtasema yote lakini CUF ndiyo hivyo wameamua ku deal na JK maana Katibu mkuu wenu hana sauti .Yaani kanyaboya .
 
Kwa hiyo tatizo sio CUF na CCM ni Maalimu Seif na Dr. Aman Abeid Karume?

In the letter we asked Mr Kikwete, as the Union President, to take the lead in bringing together Mr Amani Abeid Karume and Maalim Seif Sharif Hamad to the negotiating table, said Mr Jussa.
Na itawezekana tu Iwapo Maalim atamtambua prez wa zenj Dr.A. A Karume
 
Its very simple....."Nitambue kama Rais wa Zenj njoo tuzungumze" ugumu uko wapi kwenye hilo?

Go ahead, sit down and talk!
 
Its very simple....."Nitambue kama Rais wa Zenj njoo tuzungumze" ugumu uko wapi kwenye hilo?

Go ahead, sit down and talk!

Akishamtambua kutakuwa hakuna mzozo tena - Waingie katika mazungumzo kama Wtz wanaoungwa mkono na makundi mawili tafauti kwa nia ya kuleta maleano katika jamii yao.
 
Hiyo Haina Mjadala Kwanza Hata Huyu Jamaa Wa Cuf Ilipaswa Afunguliwe Mashitaka Ya Vitisho Na Matendo Mengine Ambayo Anaendeleza Katika Kuhakikisha Azma Yake Ya Kuvunjika Kwa Amani Visiwani Na Tanzania Nzima Inatimia

Huyu Mtu Sio Wa Kukaa Nae Meza Moja Hata Mara Moja Na Ufanyike Utaratibu Wa Yeye Kufikishwa Katika Vyombo Vya Sheria Hata Kama Hana Kosa Tutajua Huko Huko Makosa Yake Ni Yapi
 
Back
Top Bottom