Cuf

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Wapiga kura walio chagua wabunge wa CUF wametapeliwa, wapiga kura waliwapigia kura ili ikiwezekana washike dola kama sivyo wawe wapinzani wa serekali itakayo shinda wao wameenda kinyume na dhamira ya walio wachagua kitendo chakujiunga na CCM kwenye upigaji wa kura za maamuzi bungeni ni usaliti mkubwa kwa wapiga kura ,prof Lipumba asipo chukua hatua mapema hawa wabunge wanaotoka ZNZ watamweka kwenye nafasi mbaya kisiasa huku bara
 
Ndugu ninaona kama sikufahamu umekusudia nini au na maana UPINZANI ni kupinga kila kitu? sijui kama tatufaka kwa namna hiyo bro
 
Ndugu ninaona kama sikufahamu umekusudia nini au na maana UPINZANI ni kupinga kila kitu? sijui kama tatufaka kwa namna hiyo bro

Sio kupinga kila kitu bali ni kuwa pamoja katika kila jambo lenye manufaa kwenu na wananchi kwa ujumla.
So inapotokea Wapinzani wana msimamo tofauti na wabunge wengine wa ccm ni busara wapinzani wote wakaungana kwa msimamo mmoja.
 
CUF wamepoteza dira ya kuitwa chama cha upinzani. Wananchi waliowachagua hao wabunge sasa wanajuta kuwachagua, wamegundua wapo kimaslahi binafsi zaidi badala ya uwakilishi. 2015 kura zote kwa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom