CUF yasisitiza zanzibar kuwa na muungano wa mkataba

Hii mada mie inanikera na kunichosha. Hivi Tanganyika inafaidi nini kutoka Zanzibar? Wanzanzibari wakija bara wanakuwa huru mno lakini walivyo kwao aah! Waachwe

nakwanini uin'gan'ganie tanganyika ni kubwa kinachokusumbueni nini hakuna ila ni chuki na ufisadi husda choyo na uwadui wa baadhi watanganyika hata nyerere kaondoka na donda la roho juu ya wazanzibar bado mkapa mmoja baada ya mmoja watondoka na kuwaacha vijana wakidai nchi yao mpaka keleweke zanzibar huru nanyi matafaidika
 
Back
Top Bottom