matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,225
- 3,944
Tangia jana wanachama wa Cuf hapa Mkulanga wamekuwa wakipita kutangaza mkutano wa chama chao,ambao utafanyika leo jumamosi katika viwanja vya magodauni mkuranga mjini...
Mgeni rasmi anatangazwa kuwa atakuwa Julius Mtatiro ambaye pia atautubia..
Kinachosikitisha hapa ni mwitikio mdogo wa watu kuhusu huu mkutano uku gari lao la matangazo likizomewa na kuitwa CCM B..
Hali hii imezua mshituko miongoni mwa makada wa CUF maana wameanza kupata wasiwasi wanaweza kupata watu wanane kama Arusha.ukizingatia Mtatiro ata hawamfahamu wengine ndio wanamsikia kwenye gari ya matangazo sijui itakuwaje maana Maalim Seif mwenye chama chake hatokuwepo.
Source:mimi mwenyewe nipo Mkuranga na baadae nitaleta picha za mkutano.