CUF yalalmika sukari iliyokamatwa mkoani Mara kugawiwa watu wa Igunga

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Naibu katibu mkuu wa CUF, Julius Mtatiro amalalmikia kitendo cha chama kimoja (hakukitaja) kuamua kuleta sukari iliyokamatwa huko mkoa Mara kuileta Igunga na kugawiwa wananchi. Anasema hiyo ni hongo.

Aidha amelalamiikia uamuzi wa serikali ya CCM kuamua kugawa mahindi kwenye vijiji vilivyokumbwa na njaa kuanzia wiki hii, akisema nayo pia hiyo ni hongo.

Kuhusu sukari lazima itakuwa ni CCM, kwani chenyewe ndicho kina uwezo wa kufanya hivyo kutokana na serikali yake kusimamia zoezi la kukamata kamata sukari huko Mara.

Taarifa ya Channel Ten usiku huu.
 
Chama cha magamba na serikali yake hawajawahi kuishiwa vioja hata siku moja. Hiyo sukari inatolewa bure huko igunga au inauzwa?

Kuhusu kugawa mahindi si mbaya kama serikali inafanya hivyo katika wilaya zote zenye njaa na uhaba wa chakula lakini kama ni igunga pekee hiyo ni rushwa ya wazi wazi.
 
Naibu katibu mkuu wa CUF, Julius Mtatiro amalalmikia kitendo cha chama kimoja (hakukitaja) kuamua kuleta sukari iliyokamatwa huko mkoa Mara kuileta Igunga na kugawiwa wananchi. Anasema hiyo ni hongo.

Aidha amelalamiikia uamuzi wa serikali ya CCM kuamua kugawa mahindi kwenye vijiji vilivyokumbwa na njaa kuanzia wiki hii, akisema nayo pia hiyo ni hongo.

Kuhusu sukari lazima itakuwa ni CCM, kwani chenyewe ndicho kina uwezo wa kufanya hivyo kutokana na serikali yake kusimamia zoezi la kukamata kamata sukari huko Mara.

Taarifa ya Channel Ten usiku huu.

Mtatiro angalia utafokewa mbona siri za familia unapeleka kwa majirani?
 
Hizi rushwa wakusanye evidence vizuri ili magamba wakishinda ni kuupinga ushindi huo mahakamani.
 
katika utawala wa jk tutamkumbuka kwa jambo moja tuu-kugawa vyandarua visivyo na kiwango kwa kila kaya!hivyo ni kawaida ya ccm kuhonga kwa vitu vya upuuzi
 
Back
Top Bottom