CUF yalalmika sukari iliyokamatwa mkoani Mara kugawiwa watu wa Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF yalalmika sukari iliyokamatwa mkoani Mara kugawiwa watu wa Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Sep 27, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Naibu katibu mkuu wa CUF, Julius Mtatiro amalalmikia kitendo cha chama kimoja (hakukitaja) kuamua kuleta sukari iliyokamatwa huko mkoa Mara kuileta Igunga na kugawiwa wananchi. Anasema hiyo ni hongo.

  Aidha amelalamiikia uamuzi wa serikali ya CCM kuamua kugawa mahindi kwenye vijiji vilivyokumbwa na njaa kuanzia wiki hii, akisema nayo pia hiyo ni hongo.

  Kuhusu sukari lazima itakuwa ni CCM, kwani chenyewe ndicho kina uwezo wa kufanya hivyo kutokana na serikali yake kusimamia zoezi la kukamata kamata sukari huko Mara.

  Taarifa ya Channel Ten usiku huu.
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Chama cha magamba na serikali yake hawajawahi kuishiwa vioja hata siku moja. Hiyo sukari inatolewa bure huko igunga au inauzwa?

  Kuhusu kugawa mahindi si mbaya kama serikali inafanya hivyo katika wilaya zote zenye njaa na uhaba wa chakula lakini kama ni igunga pekee hiyo ni rushwa ya wazi wazi.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mtatiro angalia utafokewa mbona siri za familia unapeleka kwa majirani?
   
 4. e

  ebrah JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inamaana wasimamizi wa uchaguzi hawapo? hizo rushwa hawazioni?
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli Magamba naona kwisha kabisa. Bado kuchakachua tu
   
 6. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hizi rushwa wakusanye evidence vizuri ili magamba wakishinda ni kuupinga ushindi huo mahakamani.
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  katika utawala wa jk tutamkumbuka kwa jambo moja tuu-kugawa vyandarua visivyo na kiwango kwa kila kaya!hivyo ni kawaida ya ccm kuhonga kwa vitu vya upuuzi
   
Loading...