CUF yajitwalia Kambi ya Upinzani Bungeni!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,466
113,548
Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.
 
Kesho asubuhi watarudisha kwa wenyewe. One more thing, kwangu mimi sioni kama nje ya chadema kuna chama cha upinzani so ni chama kimoja kimebaki mjengoni!
 
Kesho asubuhi watarudisha kwa wenyewe. One more thing, kwangu mimi sioni kama nje ya chadema kuna chama cha upinzani so ni chama kimoja kimebaki mjengoni!
baada ya hotuba ya rais spika atalitangazia bunge na kuliahirisha hadi Januari.
 
hahaa CHADEMA wamenifurahisha sana leo dahhh ..mmenipa raha mnooooo.sijui kama mkwere atalala leo
 
hahaa CHADEMA wamenifurahisha sana leo dahhh ..mmenipa raha mnooooo.sijui kama mkwere atalala leo

Mkuu mimi nimeona mwenyewe!!! JK alionekana kama hakutarajia vile... Aliacha mdomo wazi kana kwamba anaonewa hivi...

Wabunge wa CCM walikuwa wanapiga makofi na kuzomea wale wa CDM, I loved the event!!! JK lazima apate ujumbe live!!!:smile-big:
 
baada ya hotuba ya rais spika atalitangazia bunge na kuliahirisha hadi Januari.
Pasco siku hizi unaongea upenzi zaidi ya facts. Naweza kusema sheria na kanuni za bunge huzijui kiongozi wa upinzani ni chama chenye wabunge wengi bungeni, labda utuambie kitendo cha kutoka bungeni masaa mawili ni kuacha ubunge, acha upenzi ongea facts.
 
CUF hawana ubavu wa kuchukua uongozi rasmi wa kambi ya upinzani, kwani chadema hawakupewa uongozi huo kama hisani bali kwa mujibu wa sheria
 
Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.

Wamekalia kiti cha upinzani au wamejaza nafasi zilizoachwa na CHADEMA walipotoka???? Hawa wakuda tu.

Hawawezi kuwa chama cha upinzani wakati katibu Mkuu anakaa kwenye high protocol ya viongozi wa serikali. Ukishaingia serikalini wewe sio mpinzani tena. Huwezi kukiita KANU leo kuwa chama tawala, no ni chama cha upinzani so CUF jamani sio Upinzani ni chama Tawala, na kwetu CHADEMA ni sawa tu na CCM hawa
 
:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:

Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

CHADEMA wamenifurahisha sana leo! Yaani wangebaki ndani ningesema ni wanafiki! Hawamtambui JK tuko pamoja nao, mpaka kieleweke!
 
Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.
Siku hizi kwa kukurupuka tutolee mipasho yako hapa, MODS toeni huu upuuzi pelekeni kenye udaku.
 
hahaa CHADEMA wamenifurahisha sana leo dahhh ..mmenipa raha mnooooo.sijui kama mkwere atalala leo

Atalala kwa raha zake. Kama alivyosema mwenyewe "Serikali" ni ya CCM na yeye ndie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, waliokwenda watarudi.

Kama mahodari wasirudi tena Bungeni na tuwaone wakiunda Serikali ya Upinzani. Thubutu!

Hawana lao jambo, wanajisumbuwa tu, wangoje wakati wao, labda miaka mitano ijayo, kwa sasa, imetoka hiyo.
 
Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.

CUF=CCM, so hapo hakuna chama cha upinzani kilichobaki mjengoni baada ya cdm members kutoka.......It is clearly known that CUF ni mke wa CCM, sasa inatoka wapi dhana ya Mkeo kuwa mpinzani wako wakati unamwezesha kila kitu...:nono:
 
Wamekalia kiti cha upinzani au wamejaza nafasi zilizoachwa na CHADEMA walipotoka???? Hawa wakuda tu.

Hawawezi kuwa chama cha upinzani wakati katibu Mkuu anakaa kwenye high protocol ya viongozi wa serikali. Ukishaingia serikalini wewe sio mpinzani tena. Huwezi kukiita KANU leo kuwa chama tawala, no ni chama cha upinzani so CUF jamani sio Upinzani ni chama Tawala, na kwetu CHADEMA ni sawa tu na CCM hawa
Kama ni kujaza viti hata Vicky Kamata alionekana amekaa karibu na Jaji Mkuu Pasco atuambie sijui naye karibu ataukwaa ujaji.
 
yes kama kwenye basi vile.......
Nimeipenda hiyo ya bila utaratibu ingawa ni utamaduni mzuri....haiwezekani au hipendezi kutawanyika kwenye mjengo wakati wanaweza kuziba nafasi iliyotupu, si kwa kwakuziba nafasi ya uongozi wa upinza bungeni.
My observation;
chadema hawamtambui jk na serikali yake je hawatauliza maswali bungeni? Kama watauliza si watauliza kwa wateule wa jk? Kama hawatauliza je watakuwa wamewawakiliza ipasavyo wananchi walio wachagua? Je kwa kutaka labda muongozo wa spika mara kwa mara*kitu ambacho natarajia* watakuwa wametekeleza na kutumia nafasi yao ipasavyo???
Naomba kuwasilisha hoja.
 
Je huyu Mwanaume ameshusha bei za vitu? Wee acha ushabiki utanunua sukari Tshs 2000/=-------------------------------------. Hapo hakuna cha CHADEMA wala SISIEM. Jaribu kufikiri watu wanasema nini! Sio ushabiki uchwala. Kalagabaho.
 
Siku hizi kwa kukurupuka tutolee mipasho yako hapa, MODS toeni huu upuuzi pelekeni kenye udaku.
Quinine, kuwaeleza jf ya kuwa Chadema walipotoka, CUF wamechukua nafasi zao ndio imegeuka mipasho, udaku na upuuzi?.
 
update.
Nimefuatilia hii issue kwa mwanasheria mkuu, jaji Warema amenithibitishia, Kiongozi rasmi wa upinzani bungeni bado ni Chadema, CUF walikaa tuu ili kujifurahisha na kupasha maka...yao kwa joto lililoachwa na Chadema.
 
hahah..ila choto wamelipta kweli
 
Back
Top Bottom