Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.
baada ya hotuba ya rais spika atalitangazia bunge na kuliahirisha hadi Januari.Kesho asubuhi watarudisha kwa wenyewe. One more thing, kwangu mimi sioni kama nje ya chadema kuna chama cha upinzani so ni chama kimoja kimebaki mjengoni!
baada ya hotuba ya rais spika atalitangazia bunge na kuliahirisha hadi Januari.
hahaa CHADEMA wamenifurahisha sana leo dahhh ..mmenipa raha mnooooo.sijui kama mkwere atalala leo
Pasco siku hizi unaongea upenzi zaidi ya facts. Naweza kusema sheria na kanuni za bunge huzijui kiongozi wa upinzani ni chama chenye wabunge wengi bungeni, labda utuambie kitendo cha kutoka bungeni masaa mawili ni kuacha ubunge, acha upenzi ongea facts.baada ya hotuba ya rais spika atalitangazia bunge na kuliahirisha hadi Januari.
Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.
:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:
Siku hizi kwa kukurupuka tutolee mipasho yako hapa, MODS toeni huu upuuzi pelekeni kenye udaku.Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.
hahaa CHADEMA wamenifurahisha sana leo dahhh ..mmenipa raha mnooooo.sijui kama mkwere atalala leo
Chama Cha Wananchi CUF, kimejitwalia uongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa mtindo wa kiti cha basi, unaposhuka, wanakaa wenzio.
Kama ni kujaza viti hata Vicky Kamata alionekana amekaa karibu na Jaji Mkuu Pasco atuambie sijui naye karibu ataukwaa ujaji.Wamekalia kiti cha upinzani au wamejaza nafasi zilizoachwa na CHADEMA walipotoka???? Hawa wakuda tu.
Hawawezi kuwa chama cha upinzani wakati katibu Mkuu anakaa kwenye high protocol ya viongozi wa serikali. Ukishaingia serikalini wewe sio mpinzani tena. Huwezi kukiita KANU leo kuwa chama tawala, no ni chama cha upinzani so CUF jamani sio Upinzani ni chama Tawala, na kwetu CHADEMA ni sawa tu na CCM hawa
Quinine, kuwaeleza jf ya kuwa Chadema walipotoka, CUF wamechukua nafasi zao ndio imegeuka mipasho, udaku na upuuzi?.Siku hizi kwa kukurupuka tutolee mipasho yako hapa, MODS toeni huu upuuzi pelekeni kenye udaku.
update.
Nimefuatilia hii issue kwa mwanasheria mkuu, jaji Warema amenithibitishia, Kiongozi rasmi wa upinzani bungeni bado ni Chadema, CUF walikaa tuu ili kujifurahisha na kupasha maka...yao kwa joto lililoachwa na Chadema.