Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,250
Kwahio Nccr hawapo
Au cdm ndio Ukawa pekee!!!
CUF inaenda kufa
Au cdm ndio Ukawa pekee!!!
CUF inaenda kufa
Mamluki wanye kadiLipumba hana mfuasi anaempenda bali yupo na mamluki
Hakuna linalo tokea Tanzania lisi mhusu mtanzaniaLumumba tulieni haya hayawausu
Nikimkumbuka huyu mama roho inaniuma sanaaaa,watu wanafanya kazi ya kwenda kupiga kura zao kwake afu kumbe ni ndumilakuwili.Tena ni chui aliyeamua kuvaa ngozi ya mwanakondooo kwenye zizi.DAAAAHSakaya ndiyo anauaga ubunge hivyo.
Usizunguke sema hao vilaza, usifiche kwa kutaja mikoa ya Pwani.Ila hii dunia ni ya ajabu sana na pia mara nyingine matukio mengi ukiyatafakari sana utashangaa mno, hebu jiulize swali dogo hivi kwa nini wafuasi wengine wa Cuf wanampenda Lipumba aendelee kuwa Mwenyekiti wa chama wakat haonyesh jipya lolote miaka nenda miaka rudi. Nimeamin kwel chama cha Cuf kina vilaza wengi na ndio maana kina mashabiki weng kutoka maeneo ya mikoa ya pwani.
Haaminiki hata kidogoNikimkumbuka huyu mama roho inaniuma sanaaaa,watu wanafanya kazi ya kwenda kupiga kura zao kwake afu kumbe ni ndumilakuwili.Tena ni chui aliyeamua kuvaa ngozi ya mwanakondooo kwenye zizi.DAAAAH
Ulikuwa hujui?Propesa Lipumba ameoa lini?
Watajuana waoSeif atagombea Urais wa Znz 2020 Kupitia Chama cha Mafisadi na Wanaojiteka!
A very Clever Idea, Same will apply for 2020 elections.CHAMA cha Wananchi CUF kimesema hakijasimamisha mgombea yoyote katika chaguzi za marudio zinazotarajiwa kufanyika Januari 22 mwakani katika kata 20.
Akizungumza na MwanaHALISI Online leo jioni Shaweji Mketo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CUF amesema hatua hiyo inatokana na mgogoro unaondelea ndani ya chama hicho.
Mgogoro unaoendelea ndani ya CUF ni juu ya Prof. Lipumba aliyejiuzulu uenyekiti wa chama hicho Agosti 2015 lakini Juni 2016 akatangaza kutengua uamuzi wake na kuirejea nafasi hiyo huku uongozi wa CUF chini ya Maalim Seif ukipinga na hatimaye kumvua uanachama lakini ameendelea kutambulika na Msajili wa Vyama vya Siasa.
Mketo amesema hapo awali CUF ilikutana na vyama washirika katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR – Mageuzi na National League For Democracy (NLD) ili kujadili namna vyama hivyo vitavyoshiriki katika uchaguzi ikiwemo kuachina kata.
“Sisi CUF tulikutana na vyama washirika wa ukawa katika kamati ndogo ya ufundi ya Ukawa ambapo tulikubaliana mambo kadhaa kuhusu kuachiana kata.
Wakati tukijiandaa kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wa Ukawa katika uchaguzi wa marudio, ghafla akajitokeza Magdalena Sakaya (Mbunge wa Kaliua – CUF ambaye ni mfuasi wa Prof. Lipumba) na kutangaza kuwa CUF itasimamisha wagombea katika kata zote,” amesema Mketo.
Ameongeza kuwa, “Ieleweke kuwa hatujasimamisha wagombea sehemu yoyote na Sakaya na wenzake kutangaza kusimamisha wagombea katika kata zote ni utekelezaji wa kazi zao za kukisaidia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupata ushindi.”
Sheria ya Uchaguzi.CUF inayotambuliwa ni ya mwenyekiti Lipumba hiyo ya akinqa MKETO nA Seif ni CUF koko.Hitambuliwi.WAtasemaje hawajasimamisha wagombea watu ambao hawatambuliwi na msajili.Mketo alitakiwa aseme hatujasimamisha sababu ni wanaharamu hatutambuliwi.
Kwa hiyo akina Lipumba ndio watasimamisha wagombea ?Akina Seif walidhani Lipumba ni Kama Hamad Rashid
Kabisa KabisaUlimsikia mkurugenzi wa NEC alivyosema? Kutokana na mgogoro huo kila mgombea lazima aidhinishwe na pande zote mbili hivyo hao watakao pendekezwa na kundi la Lipumba watapata wapi sahihi ya upande wa pili? Hapo tayari wamechemsha.
Namwonea huruma sana Sakaya kwa kuharibu future yake kisiasa baada ya kumfuata Lipumba anayefahamika wazi kuwa anatumika na ccm ambayo nayo inafutika
Ni Makubaliano ndani ya UKAWA wewe wa Lumumba hayakuhusuHizo kata imeachiwa Chadema au washilika waliobaki wa Ukawa? Kwa nini Chadema izichukue zote bila kuhusisha NCCR na NLD?
Hayakuhusu Fanya yakohahahaha mbona sioni NCCR na NLD? hahahaha halafu ni CUF ya Lipumba au ya Seif?
Lumumba hayawahusu Fanyeni yenuKwahio Nccr hawapo
Au cdm ndio Ukawa pekee!!!
CUF inaenda kufa
Hayakuhusu wewe haya Fanya yakoKweli Tanzania kuna mambo pesa tamu yaani juzi cuf wanalalamika kuwa chadema inang'ang'ania kuweka wagombea leo wamewaachia je hawa washirika wengne ndani ya ukawa wao in wasindikizaji tu?