Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Mhona kasema kweli CCM wabunge wake hawakai majimboni Igunga wakilogwa tu watakoma zaidi ya RA na wataona ni bora kipindi chake na miaka 4 ni mingi wataona kama ni karne.
wakimsubiri toka saa 2 mwenyekiti wa CUF taifa Prof Lipumba ambaye aliwasijli saa 8 mchana na kupokelewa na umati mkubwa wa watu ambao haijapata kutokea katika mji wa igunga na kupelekea watu kufunga maduka na kwenda kumsikiliza ambao ktk uwanja wa sokoine kulifurika watu ambao ni wengi wengi kupita mikutano yote iliyopata kutokea hapa igunga, mapema akiwasili hapa akiwa amepata gari linalo kokotwa na punda akiwa na mgombea wa ubunge Leopold Mahona.
Mkuu kwa hiyo unataka kuniambia CDM inaweza kushika nafasi ya nne kwenye uchaguzi wa Igunga nyuma ya UPDP?thibitisheni kwa kuangalia taarifa za habari. picha nitawawekea kesho, laptop yangu charge imekwisha.