CUF yafunika Igunga, Shughuli zasimama, Maduka yafungwa, CDM yapata aibu.

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Mhona kasema kweli CCM wabunge wake hawakai majimboni Igunga wakilogwa tu watakoma zaidi ya RA na wataona ni bora kipindi chake na miaka 4 ni mingi wataona kama ni karne.
 
Msituletee tena picha ya ng'ombe wa pemba safari hii mlete ya punda tutakuwa tumesahau kidogo..
 
Keep up cdm, mambo yenu yapo kisomi na yanaeleweka kwa wananchi, hawa cuf sio tatizo sana ila jambo la muhimu ni kuwaeleza wananchi ukweli, wapeni mifano life ya mbunge wa busanda ambaye amechaguliwa kwa bwebwe na magamba ilihali hana msaada wowote bungeni!! Ni bora wakamchagua mgombea wa cdm ambaye atapiga kelele hadi haki itatendeka!! Pia tafuteni wasomi wachache hawa wa shule za kata waelezwe ubaya wa serekali ya magamba ambayo imejikitaa kwenye ufedhuli uliokisiri. Hawa ni chachu ya kufikisha ujumbe kwa ndugu, jamaa na marafiki
 
Uzinduzi wa kampeni za chama cha wanainchi CUF zimepelekea leo wakazi wa mji wa igunga kusimamisha shughuli zao na kufunga maduka ili kupata nafasi kwenda kumpokea Prof Ibrahim H Lipumba na kumsikiliza kwa kweli watu ni wengi mno wanasema wakazi wa Igunga haijawahi kutokea hapa Igunga kufanyika maandamano na mkutano wa mkubwa namna hii, ambapo Prof Lipumba aliingia mjini akiwa amepanda gari linalo kokotwa na punda pamoja na mgombea ubunge Leopold Lucas Mahona. chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata aibu baada nacho kulazimisha kufanya mkutano Lengo ni kutaka kuhujumu mapokezi na mkutano wa CUF lakini lengo lao hilo liligonga mwamba ambapo katika mkutano wa chadema walikosa watu kabisa. haya ndiyo yaliyotokea Leo IGUNGA.
 
Picha ndugu wengne kusoma hatujuı mpaka tuone pıcha,unakuwa kama mgeni humu.
 
Hivi siku tatu za maombolezo zimeisha? Mbona tuliambiwa ccm na cdm wamesimamisha kampeni kwa ajili ya msiba...au zilikuwa porojo tu?
 
ndugu thibitisha kauli zako kwa vielelezo sio unajifungia chumbani then unatuandikia ngonjera za kusifia chama humu
 
Kama maduka yalifungwa basi CUF ndio waleta vurugu, wavunja amani na wezi wa mali za raia. Aibu kwenu na mjirekebishe, watu wamefunga maduka sio kwa ajili ya kuja ktk mkutano wenu ila waliogopa vurugu zenu na kuibiwa mali zao. Mbona CDM watu walijaa sana na maduka yalikuwa wazi? Shame upon you.
 
thibitisheni kwa kuangalia taarifa za habari. picha nitawawekea kesho, laptop yangu charge imekwisha.
 
TindiKali hatari sana hivi yule kijana mpenda amani anaendeleaje?
 
ushabiki mwingine bana...
Sidhani kama watu walifunga maduka yao kwenda kumshangaa au kuhudhuria mkutano wa CUF bali ni kuogopa vurugu zenu na wanaume wenu CCM.
Kwanza huyo Lipumba ni sawa na Big G iliyokwisha utamu hana jipya na anachuja kila siku.
Halafu nyinyi CUF na CCM mbona mnaiandama sana CDM?
 
wakimsubiri toka saa 2 mwenyekiti wa CUF taifa Prof Lipumba ambaye aliwasijli saa 8 mchana na kupokelewa na umati mkubwa wa watu ambao haijapata kutokea katika mji wa igunga na kupelekea watu kufunga maduka na kwenda kumsikiliza ambao ktk uwanja wa sokoine kulifurika watu ambao ni wengi wengi kupita mikutano yote iliyopata kutokea hapa igunga, mapema akiwasili hapa akiwa amepata gari linalo kokotwa na punda akiwa na mgombea wa ubunge Leopold Mahona.

weka picha wewe............usiongee kama umehadhithiwa.
 
thibitisheni kwa kuangalia taarifa za habari. picha nitawawekea kesho, laptop yangu charge imekwisha.
Mkuu kwa hiyo unataka kuniambia CDM inaweza kushika nafasi ya nne kwenye uchaguzi wa Igunga nyuma ya UPDP?
 
Back
Top Bottom