Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Hao CUF inaelekea hawawajui wazee wa tindikali
Haiwezekani CUF wasiwajue CCM, tena ni washirika wa matumizi ya tindikali. Au wewe ndiye mchanganyaji wa tindikali mtajisema tu.
Hao CUF inaelekea hawawajui wazee wa tindikali
Kwa hiyo watu walifunga maduka kwenda kumshangaa Lipumba kwenye gari linalokokotwa na punda au walifuata nini??
wanaume wenu CCM.

Wewe acha uzushi, umati wote huo unasema hawazidi 1000? Kweli kupenda ni maradhi.

CUF imezindua Kampeni zako huko igunga kwa mtindo wa aina yake wakati Punda Kihongo wakikokota mkokoteni uliomchukua Mwenyekiti wa Taifa Ibrahim Lipumba pamoja na mgombea wake wa Ubunge jimboni Igunga.

Siasa ni usanii yakhe!

Huo sio unyanyasaji wa wanyama kweli?