CUF yafungua kesi ICC - The Hague

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Alhamisi, May 12, 2016

Chama Kinachoaminika kuwa kilishinda Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 25, mwaka jana, Chama cha Wananchi (CUF) jana, kimetangaza rasmi kuwa kimefungua kesi dhidi ya anayejiita Rais wa Zanzibar, katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC ), The Hague.

Kwa Mujibu wa Nassor Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, amesema kwamba, CUF kimefungua kesi hiyo dhidi ya rais wa Zanzibar, pamoja na viongozi wengine kwa madai ya kudhoofisha haki za kidemokrasia visiwani Zanzibar.

Mazrui amesema kwamba, kwa sasa CUF inasubiri maelekezo zaidi kutoka ICC juu ya kuanza na uendeshwaji wa kesi hiyo. Cuf inao ushahidi wa kutosha wa ushindi wa uchaguzi wa Oktoba, mwaka jana.

Endapo ICC, itaridhia madai ya kesi ya CUF, itakuwa ni kesi ya kwanza ya Zanzibar, kufunguliwa na chama cha siasa katika mahakama hiyo tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania, mwaka 1992.

Mwanyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jeche alifuta matokeo ya uchaguzi wote Oktoba 28, 2015 kwa madai kuwa taratibu, kanuni na sheria zilikiukwa.

Hatua hiyo ya Jecha, kufuta uchaguzi huo ni baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuelekea kushinda katika uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka uliyopita.

Aidha, Mazrui amesema katika kesi hiyo, mbali na Rais wa Zanzibar, watu wangine waliyoshitakiwa ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa SMZ, na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

chanzo : Mzalendo
 
mwandishi huyo naona amekosa weledi, hii report ni muhimu sana angesema hati ya mashitaka inasemaje. kuna mashitaka mangapi yanamkabili nani. Hii ingetoa hata room ya kujadili hoja lakini jinsi ilivyoeletwa ni nusu taarifa.
 
Acheni kujaza wananchi ujinga.

Suala la uchaguzi Zanzibar limepita.

Kama CUF ilifanya makosa inafaa kuangalia ni makosa yapi badala ya kuanza kuwajaza ujinga wananchi kwa suala ambalo hata viongozi wakuu wa CUF wanafahamu haliwezekani.

ICC haiwezi kufanya lolote kwa viongozi wa Zanzibar kutokana na set up ya Muungano wetu.

Shein siyo Amiri Jeshi Mkuu na Zanzibar siyo nchi kwenye macho ya Jumuiya za Kimataifa.

Kama mnataka kumshitaki Shein kwenye jumuiya za kimataifa, inabidi kwanza muuwe Muungano.

ICC ni mkono wa nchi za magharibi ambazo zinaamini CUF ni kama kikundi cha Hamas.
 
ICC =international of Criminal Court, sasa sijui siasa za zanzibar zinafikaje kwenye hiyo mahakama ya uharifu wa kimataifa!!!!!
 
Alhamisi, May 12, 2016

Chama Kinachoaminika kuwa kilishinda Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 25, mwaka jana, Chama cha Wananchi (CUF) jana, kimetangaza rasmi kuwa kimefungua kesi dhidi ya anayejiita Rais wa Zanzibar, katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC ), The Hague.

Kwa Mujibu wa Nassor Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, amesema kwamba, CUF kimefungua kesi hiyo dhidi ya rais wa Zanzibar, pamoja na viongozi wengine kwa madai ya kudhoofisha haki za kidemokrasia visiwani Zanzibar.

Mazrui amesema kwamba, kwa sasa CUF inasubiri maelekezo zaidi kutoka ICC juu ya kuanza na uendeshwaji wa kesi hiyo. Cuf inao ushahidi wa kutosha wa ushindi wa uchaguzi wa Oktoba, mwaka jana.

Endapo ICC, itaridhia madai ya kesi ya CUF, itakuwa ni kesi ya kwanza ya Zanzibar, kufunguliwa na chama cha siasa katika mahakama hiyo tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania, mwaka 1992.

Mwanyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jeche alifuta matokeo ya uchaguzi wote Oktoba 28, 2015 kwa madai kuwa taratibu, kanuni na sheria zilikiukwa.

Hatua hiyo ya Jecha, kufuta uchaguzi huo ni baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuelekea kushinda katika uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka uliyopita.

Aidha, Mazrui amesema katika kesi hiyo, mbali na Rais wa Zanzibar, watu wangine waliyoshitakiwa ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa SMZ, na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

chanzo : Mzalendo
Politics at best, international law at worst.
 
Ni suala au kesi ambayo haina mkia, kichwa wala miguu...tangu lini chama cha siasa kikafungua kesi huko The Hague? Mahakama ya ICC inasikiliza kesi za aina ipi na ni nani anayeshitaki? Hii imelenga kuwapa moyo wana-CUF...
 
ICC ni mahakama ya jinai, hivyo CUF haiwezi fungua kesi kwani sio waendesha mashitaka. Mama Fatuu Bensuda ndie mfunguaji mashitaka kwa sasa. Labda walichofanya cuf ni kupeleka malalamiko ambayo Bensuda atapima kama kweli aanzishe uchunguzi au la. Hivyo kuna jinai ya makosa yanashughulikiwa na ICC yalitendwa ZNZ!!? Kilichofanyika ni dhuluma ya ushindi, je hiyo ni jinai chini ya ICC?
 
Alhamisi, May 12, 2016

Chama Kinachoaminika kuwa kilishinda Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 25, mwaka jana, Chama cha Wananchi (CUF) jana, kimetangaza rasmi kuwa kimefungua kesi dhidi ya anayejiita Rais wa Zanzibar, katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC ), The Hague.

Kwa Mujibu wa Nassor Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar, amesema kwamba, CUF kimefungua kesi hiyo dhidi ya rais wa Zanzibar, pamoja na viongozi wengine kwa madai ya kudhoofisha haki za kidemokrasia visiwani Zanzibar.

Mazrui amesema kwamba, kwa sasa CUF inasubiri maelekezo zaidi kutoka ICC juu ya kuanza na uendeshwaji wa kesi hiyo. Cuf inao ushahidi wa kutosha wa ushindi wa uchaguzi wa Oktoba, mwaka jana.

Endapo ICC, itaridhia madai ya kesi ya CUF, itakuwa ni kesi ya kwanza ya Zanzibar, kufunguliwa na chama cha siasa katika mahakama hiyo tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania, mwaka 1992.

Mwanyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jeche alifuta matokeo ya uchaguzi wote Oktoba 28, 2015 kwa madai kuwa taratibu, kanuni na sheria zilikiukwa.

Hatua hiyo ya Jecha, kufuta uchaguzi huo ni baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kuelekea kushinda katika uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka uliyopita.

Aidha, Mazrui amesema katika kesi hiyo, mbali na Rais wa Zanzibar, watu wangine waliyoshitakiwa ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa SMZ, na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).

chanzo : Mzalendo
Hiyo source unayoitaja, Mzalendo, ni ipi hiyo? Pamoja na hayo naomba maelezo ya wanaojua sheria. ICC ni criminal court, je, suala la uchaguzi liko kwenye criminal au political? Nauliza kwa sababu ile kesi ya Kenya haikuwahusisha akina Odinga na Kibaki kwa sababu tu kwamba wao kama ni makosa, yalikuwa ya kisiasa na kwamba ICC haihusiki na makosa ya kisiasa.

Wanasheria please!
 
Naona maCCM yanapumulia viungo visivyo; lisa kesi ya ubakaji uchaguzi imefunguliwa. Haya mkipewa ua msipopewa hati ya mashtaka itawasaidia nini?
 
"Hivi ni vituko uswahili, dah! Uswahilini kuna vituko, eebanaee, hivi ni vituko uswahilini,dah! Uswalini kuna vituko, .
 
Back
Top Bottom