CUF yachukua fomu jimbo la Kinondoni

Tatizo mmeacha kuamini Video mnaenda kuamini kikaratasi Chenye nembo ya Chadema
Kuwa CDM au CCM si kosa wala hatia!! Sema ccm haikuzoea upinzani wa dhati na kweli iliyokumbana nayo toka kwa wananchi. Hamkutegemea mpaka mkalazimika kutumia dola kuibakiza serikali
 
Sisi CUF -Kwa Mtogole tumeamua kwa kauli moja kua tutampigia kura Mgombea atakaesimamishwa na CDM,
Viva UKAWA
 
WAPINZANI MNGEKUWA NA AKILI MNGEWEKA MGOMBEA MMOJA SASA HUKU SALUM MWALIMU NA HUKU SALUMU RAJABU
 
Back
Top Bottom