CUF ya Prof. Lipumba ipo kweli?

Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende.

Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa?
Inavyosemekana habari chini ya kapeti kuna mgogoro mkubwa unaendelea ndani ya chama

Chanzo cha mgogoro kuna pesa inasemekana propesa kuna hela amekula Bila kuwagawia wenzie
 
Huyu mzee tunamdai hela zetu...ni mtuhumiwa.
Zile walikiwa wanagawaniana pale nmb magomeni..

Ukiwa na wazee 10 kama hawa nchi haipogi hatua.. Nafsi imenisutaaa...nafsi imenisusaa wananchi..!! ha ha ha

CUF ishabaki tawi la CCM
 
Back
Top Bottom