CUF ya Prof. Lipumba ipo kweli?

Ah ah umenichekesha, ati ATC wazalendo.
Swali hili ukimuuliza lipumba atakujibu wewe inakuhusu na kukuuma nn??
Kila siku naziona ATC Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende.

Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa?
 
UPINZANI HAUPO,
WAKATI WA UCHAGUZI HUWA WANAWEKEANA MAPINGAMIZI WAO KWA WAO,HATA VYAMA VICHANGA KABISA HUWEKA MAPINGAMIZI.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom