CUF watayapata wanayoyapata chama cha Lib Dem cha Uingereza.

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,303
Kwa mara ya kwanza leo tumeshuhudia wabunge wa chama cha CUF wakimchagua mgombea u-spika wa chama tawala kuwa spika. Wapo walioshangaa na uamuzi wa CUF, pia wapo ambao hawakushangaa kabisa. Naifananisha bunge na serikali ijayayo ya Tanzania kama ile ya Uingereza (coalition government). Kama ilivyo chama cha Lib Dem cha Uingereza, naona kama CUF ndio wanajichimbia kaburi. Waliokipigia kura chama cha Lib Dem hawakutegemea hata siku moja kuwa kitaforum government na kufuata sera za chama cha conservative.

Pia sidhani kama waliokipigia kura chama cha CUF walitegemea kuwa kitafuata siasa za ki-CCM kama tulivyoshuhudia leo huko dodoma. Sasa hivi chama cha Lib Dem kiko taabani na wapiga kura tayari wameshaapa kutokipigia tena kura chama hicho kwenye chaguzi. Nafikiri hili litakikumba pia chama cha CUF. Nilidhani ushirikiano kati ya CCM and CUF ulikuwa kwa ajili ya Zanzibar tuu, kumbe unatumika hadi bara? Kwa hiyo in short tutakuwa na coalition ya bunge na government kati ya CCM and CUF bara? To that effect it is official CUF IS NO LONGER AN OPPOSITION PARTY. Pia kunaweza kuwa na issues za kikatiba hapa as inaonekana kama katiba ya zanzibar inatumika impliedly huku bara.
 
Mwandishi una matatizo weye! Mbona marando amepata kura 53 hawa wote ni wa chadema? Kwani haikuwezekana ikawa kuna wabunge wa chadema wamempa mgombea wa ccm?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom