Elections 2010 CUF washinda Majimbo yote Pemba

Bwana Mdogo

Member
Jul 11, 2007
46
2
CUF wameshinda majimbo yote ya Ubunge na Uwakilishi Pemba. Pia wamepata kura nyingi za urais wa Zanzibar!
 
Nchi inakabidhiwa ajwa wenyewe. eti walisema watashinda kwa vishindo bara na visiwani? imewala hiyo.
 
TV broadcasting in ZNZ imekua banned till kesho nasikia. I understand that CUF has taken 5 seats in Unguja and could take more but could also loose 2 in Pemba. Sasa hizi habari wamechukua seat zote Pemba confimed au?
 
Habari hizi wakuu ziko confirmed (matokeo ya awali Pending to be announced by ZEC) niko Pemba na ndio narudi kujipumzisha baada ya kuzungukia maeneo yote na kukusanya matokeo. Kwa upande wa Unguja, mpaka sasa CUF wameshinda Jimbo la Mji Mkongwe Uwakilishi(confirmed) pia kuna habari za kwamba wameshinda jimbo la Magogoni (Uwakilishi) na jimbo la Mtoni kwa Maalim Seif. Hata hivyo Mpaka sasa Mawakala wa CCM katika majimbo hayo mawili wamekataa kusign matokeo. Kuhusu ubunge mtakumbuka jimbo la Mji Mkongwe na Magogoni uchaguzi umehairishwa kwa kutofika vifaa vya kupigia kura, wakati Jimbo la mtoni sina habari za uhakika nani kashinda ubunge
 
Back
Top Bottom