• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Elections 2010 CUF washinda Majimbo yote Pemba

B

Bwana Mdogo

Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
46
Points
0
B

Bwana Mdogo

Member
Joined Jul 11, 2007
46 0
CUF wameshinda majimbo yote ya Ubunge na Uwakilishi Pemba. Pia wamepata kura nyingi za urais wa Zanzibar!
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,583
Points
2,000
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,583 2,000
hongereni cuf, sawa sawa?
 
Not_Yet_Uhuru

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
1,304
Points
0
Not_Yet_Uhuru

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
1,304 0
Nchi inakabidhiwa ajwa wenyewe. eti walisema watashinda kwa vishindo bara na visiwani? imewala hiyo.
 
Kaduguda

Kaduguda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2008
Messages
691
Points
500
Kaduguda

Kaduguda

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2008
691 500
Wana CUF wamefanya "SAWASAWA"
 
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
3,931
Points
2,000
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
3,931 2,000
CCM mmesikia hiyo,sawasawa?!
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
8,477
Points
2,000
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
8,477 2,000
CUF wameshinda majimbo yote ya Ubunge na Uwakilishi Pemba. Pia wamepata kura nyingi za urais wa Zanzibar!
Umezipata wapi mkuu? TV za Zenji wameanza kutangaza??
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,194
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,194 2,000
CUF wameshinda majimbo yote ya Ubunge na Uwakilishi Pemba. Pia wamepata kura nyingi za urais wa Zanzibar!
Hakiiiiiiiiii !!!! Sawa sawaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
samora10

samora10

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2010
Messages
7,450
Points
2,000
samora10

samora10

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2010
7,450 2,000
CUF wameshinda majimbo yote ya Ubunge na Uwakilishi Pemba. Pia wamepata kura nyingi za urais wa Zanzibar!
kaka mbona that was obvious? sasa tunafukuzia majimbo ya unguja so far tun a moja tayari kibindoni
 
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
5,109
Points
1,225
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
5,109 1,225
Source please maana bwawani wamegoma kutangaza sijui wanachakachua kwanza!!!
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
12,697
Points
2,000
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
12,697 2,000
sawa sawa maalim seif
 
N

No name

Member
Joined
Jul 27, 2007
Messages
13
Points
0
N

No name

Member
Joined Jul 27, 2007
13 0
TV broadcasting in ZNZ imekua banned till kesho nasikia. I understand that CUF has taken 5 seats in Unguja and could take more but could also loose 2 in Pemba. Sasa hizi habari wamechukua seat zote Pemba confimed au?
 
B

Bwana Mdogo

Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
46
Points
0
B

Bwana Mdogo

Member
Joined Jul 11, 2007
46 0
Habari hizi wakuu ziko confirmed (matokeo ya awali Pending to be announced by ZEC) niko Pemba na ndio narudi kujipumzisha baada ya kuzungukia maeneo yote na kukusanya matokeo. Kwa upande wa Unguja, mpaka sasa CUF wameshinda Jimbo la Mji Mkongwe Uwakilishi(confirmed) pia kuna habari za kwamba wameshinda jimbo la Magogoni (Uwakilishi) na jimbo la Mtoni kwa Maalim Seif. Hata hivyo Mpaka sasa Mawakala wa CCM katika majimbo hayo mawili wamekataa kusign matokeo. Kuhusu ubunge mtakumbuka jimbo la Mji Mkongwe na Magogoni uchaguzi umehairishwa kwa kutofika vifaa vya kupigia kura, wakati Jimbo la mtoni sina habari za uhakika nani kashinda ubunge
 

Forum statistics

Threads 1,403,306
Members 531,177
Posts 34,419,993
Top