CUF wanavyojua kuomba Kura Igunga - kwanini wasipewe?.. amua mwenyewe

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,988
Mashindano ya namna kwa kweli inaweza kuwa ngumu huko Igunga.

Anafaa kubandika tangazo 1 (800x534).jpg

Anafaa pa kuweka tangazo 2 (800x534).jpg

anafaa limekaa vizuri hapa 3 (800x534).jpg

anafaa kubandika tangazo 4 (534x800).jpg

Eti alisema anabandika vipeperushi vya mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) kwenye mwili wa huyu dada, hapa ilikuwa ni kwenye viwanja vya Barafu mjini Igunga wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea Ubunge Leopold Mahona jana (Picha kutoka kwa Elia Mbonea - Igunga).

Swali: Katika mazingira ya namna hii vyama kama CCM na CDM vina nafasi gani... ?
 
Mi sasa sijakupata mwanakijiji, unataka tuchambue aina hii ya campaign au tutafakari picha jinsi zilivyokuwa zinabandikwa au nafasi ya CCM na CHADEMA igunga kwa style ya campaign za CUF?
 
Mashindano ya namna kwa kweli inaweza kuwa ngumu huko Igunga.

View attachment 38081

Eti alisema anabandika vipeperushi vya mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) kwenye mwili wa huyu dada, hapa ilikuwa ni kwenye viwanja vya Barafu mjini Igunga wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea Ubunge Leopold Mahona jana (Picha kutoka kwa Elia Mbonea - Igunga).

Swali: Katika mazingira ya namna hii vyama kama CCM na CDM vina nafasi gani... ?

oops... that was damn close!
 
Tusubiri WAISMAM watoe tamko... si wanambandika kwenye masaburi ya dada wa kiismam..
 
Back
Top Bottom