M Mamboleo Member Oct 15, 2008 69 38 Nov 1, 2010 #1 Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim)
Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim)
Zak Malang JF-Expert Member Dec 30, 2008 5,404 233 Nov 1, 2010 #2 Huyo Jussa ni nafasi ya uwakilishi, siyo Ubunge.
K kisoti Member Aug 20, 2009 81 9 Nov 1, 2010 #3 Mamboleo said: Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim) Click to expand... Punguza mzuka kijana. Kwa mujibu wa ITV inaelekea CUF kushinda ila bado hayajatangaza rasmi
Mamboleo said: Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF Source.ITV (Faroukh Kharim) Click to expand... Punguza mzuka kijana. Kwa mujibu wa ITV inaelekea CUF kushinda ila bado hayajatangaza rasmi