Elections 2010 Cuf wameshinda mji mkongwe zanzibar

Mamboleo

Member
Oct 15, 2008
69
38
Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF

Source.ITV (Faroukh Kharim)
 
Mgombea wa CUF Ismail Juza ametangazwa mshindi wa ubunge kwa tiketi ya chama chake cha CUF
Source.ITV (Faroukh Kharim)

Punguza mzuka kijana. Kwa mujibu wa ITV inaelekea CUF kushinda ila bado hayajatangaza rasmi
 
Back
Top Bottom