Cuf wamelishwa pipi na ccm

Mkorosai

Member
Nov 17, 2010
65
0
CUF ni chama cha watu watano ambao CCM iliwaainisha na kujua kuwa walikuwa wanataka madaraka tu basi. Watu hao ni Maalim seif, Prof Lipumba, Juma Duni, Jussa na Hamad Rashid. wengine wote kwenye hicho chama ni wafuata mkumbo na hawana wanacho kiweza.
Baada ya Dr. Shein kuwateua Maalim Seif na Juma Duni kwenye serikali yake amekamilisha mzunguko alioanzisha B.Mkapa kumteua Hamad Rashid kuwa mbunge na J.Kikwete kumteua Jussa ktk bunge lililopita. Sasa hivi CUF watajipendekeza kwa namna yoyote ile, ili CCM wawaonee huruma wamteuwe Lipumba naye angalau aingie bungueni.

Sasa CUF hawawezi kusema chochote dhidi ya CCM maana sasa wenyewe ni wafadhiliwa wa chama cha Mafisadi!
 
Kwa staili hii ya CUF kwa kweli ni kama hatuna upinzani maana walilia sana kumbe wanataka madaraka sasa wamepewa wananyamaza ''' kweli ukistaajabu ya Musa utaona Ya Firauni '''
 
Toeni chuki zenu hapa. Cuf wanastahili. Wamepoteza damu nyingi kupigania haki. Chadema hawajapoteza damu hata moja ila tumeona "wameua". Mtaingiza nchi pabaya. Mnaibua hoja mfu. Mmsehau prof. Alivunjwa mkono kwa kudai haki. Dr. Kavunjika mkono ******. Kuweni rational!!!
 
Lakini usimtukane mamba wakati hujavuka mto, leo cuf usishangae kesho chadema wakabadili misimamo...
 
Toeni chuki zenu hapa. Cuf wanastahili. Wamepoteza damu nyingi kupigania haki. Chadema hawajapoteza damu hata moja ila tumeona "wameua". Mtaingiza nchi pabaya. Mnaibua hoja mfu. Mmsehau prof. Alivunjwa mkono kwa kudai haki. Dr. Kavunjika mkono ******. Kuweni rational!!!

Huna any rationalism,Cuf walistahili nini? kunyang'anywa ushindi wao chaguzi zote zlizopita?is that what you mean they deserve!!!.Wamepigania haki yaooo! je wameipata? just tell us haki gani wameipata,kuteuliwa kuwa viongozi ktk serikali sidhani kama ndicho walokuwa wakipigania.Walopoteza damu ni wazanzibari walohitaji ushindi wao,hawajaupata hadi leo.Chadema wanahaja gani ya kumwaga damu kudai haki yao?? hawa ndio rational,wanaofuata mianya ya kisheria na katiba kudai haki yao pasi na kumwaga damu.Dr kavunjika mkono akiwa kazini wakati wa campain,Prof alivunjika mkono akiwa kazini pia,na si katika yale mapambano ya wanzanzibari na askari.Would you be a great thinker please!!
 
Toeni chuki zenu hapa. Cuf wanastahili. Wamepoteza damu nyingi kupigania haki. Chadema hawajapoteza damu hata moja ila tumeona "wameua". Mtaingiza nchi pabaya. Mnaibua hoja mfu. Mmsehau prof. Alivunjwa mkono kwa kudai haki. Dr. Kavunjika mkono ******. Kuweni rational!!!

Dr. alivunjika mkono, umasehau?
 
Back
Top Bottom