CUF ni chama cha watu watano ambao CCM iliwaainisha na kujua kuwa walikuwa wanataka madaraka tu basi. Watu hao ni Maalim seif, Prof Lipumba, Juma Duni, Jussa na Hamad Rashid. wengine wote kwenye hicho chama ni wafuata mkumbo na hawana wanacho kiweza.
Baada ya Dr. Shein kuwateua Maalim Seif na Juma Duni kwenye serikali yake amekamilisha mzunguko alioanzisha B.Mkapa kumteua Hamad Rashid kuwa mbunge na J.Kikwete kumteua Jussa ktk bunge lililopita. Sasa hivi CUF watajipendekeza kwa namna yoyote ile, ili CCM wawaonee huruma wamteuwe Lipumba naye angalau aingie bungueni.
Sasa CUF hawawezi kusema chochote dhidi ya CCM maana sasa wenyewe ni wafadhiliwa wa chama cha Mafisadi!