Elections 2010 CUF Wamegeuka Kipazasauti cha CCM??

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Hawa wanamgambo wa CUF siwaelewi. Tena siwaelewi kabisaaaaaaaaaa!

Hivi inakuwaje wanakuwa wanaongoza kukaa kwenye mic za waandishi wa habari na kukiponda Chadema??

Tunajua kuwa CUF na NCCR na vyama vingine uchwara walijiita wapinzani ikiwa ni mkakati wa CCM kuipotosha jumuia ya kimataifa na kuiaminisha kuwa Tanzania kuna demokrasia ya vyama vingi, wakati sivyo.

Sasa majibaba Chadema tumekuja kiukombozi zaidi. Acheni kutuchokoa kwa sababu tunajua tunachokifanya na hakuna wa kuturudisha nyuma.

Wakati huu ni wa kutenganisha pumba(CCM,CUF,NCCR,UDP,TLP....) na mchele(Chadema). Then tuingie uwanjani.

CUF wananikumbusha enzi za Tambwe Hiza. Aliwahi kusema 'bora kumlala mama yake mzazi kuliko kurudi CCM'. Leo yuko wapi?? Unafiki hatutaki.

Sasa Hamad Rashid naye anafanya mashauzi kwa kujifanya anajua kuliko vichwa vilivyoko Chadema? Wapi?

Chadema siyo chama cha majuha(ccm).

Hatudanganyiki!!!!
 
Kinachowapumbaza CUF ni ile serikali waliyounda na CCM kule Zanzibar imewafanya wasahau kila kitu.
Wamesahau damu iliyowahi kumwagika kule Zanzibar kwa sababu ya dhuruma ya CCM.
 
Nilikuwa nawapenda cuf sana lakini toka muafaka wamebadilika kabisa wamekua na akili za kuku...Kuku anaweza kuwa anakula mahindi yaka ukampiga na kumvunja mguu...lakini ajabu baada ya muda anarudi tena....amesha sahau kama ulimvunja Miguu
Sipendi kusema lakini nasme sasa.....''' CUF akili za KUKU!'''
 
hawa wanamgambo wa cuf siwaelewi. Tena siwaelewi kabisaaaaaaaaaa!

Hivi inakuwaje wanakuwa wanaongoza kukaa kwenye mic za waandishi wa habari na kukiponda chadema??

Tunajua kuwa cuf na nccr na vyama vingine uchwara walijiita wapinzani ikiwa ni mkakati wa ccm kuipotosha jumuia ya kimataifa na kuiaminisha kuwa tanzania kuna demokrasia ya vyama vingi, wakati sivyo.

Sasa majibaba chadema tumekuja kiukombozi zaidi. Acheni kutuchokoa kwa sababu tunajua tunachokifanya na hakuna wa kuturudisha nyuma.

Wakati huu ni wa kutenganisha pumba(ccm,cuf,nccr,udp,tlp....) na mchele(chadema). Then tuingie uwanjani.

Cuf wananikumbusha enzi za tambwe hiza. Aliwahi kusema 'bora kumlala mama yake mzazi kuliko kurudi ccm'. Leo yuko wapi?? Unafiki hatutaki.

Sasa hamad rashid naye anafanya mashauzi kwa kujifanya anajua kuliko vichwa vilivyoko chadema? Wapi?

Chadema siyo chama cha majuha(ccm).

hatudanganyiki!!!!

wana mimba ya ccm ,na mimba yao haiwapendi chadema kabisa
 
Hawa wanamgambo wa CUF siwaelewi. Tena siwaelewi kabisaaaaaaaaaa!

Hivi inakuwaje wanakuwa wanaongoza kukaa kwenye mic za waandishi wa habari na kukiponda Chadema??

Tunajua kuwa CUF na NCCR na vyama vingine uchwara walijiita wapinzani ikiwa ni mkakati wa CCM kuipotosha jumuia ya kimataifa na kuiaminisha kuwa Tanzania kuna demokrasia ya vyama vingi, wakati sivyo.

Sasa majibaba Chadema tumekuja kiukombozi zaidi. Acheni kutuchokoa kwa sababu tunajua tunachokifanya na hakuna wa kuturudisha nyuma.

Wakati huu ni wa kutenganisha pumba(CCM,CUF,NCCR,UDP,TLP....) na mchele(Chadema). Then tuingie uwanjani.

CUF wananikumbusha enzi za Tambwe Hiza. Aliwahi kusema 'bora kumlala mama yake mzazi kuliko kurudi CCM'. Leo yuko wapi?? Unafiki hatutaki.

Sasa Hamad Rashid naye anafanya mashauzi kwa kujifanya anajua kuliko vichwa vilivyoko Chadema? Wapi?

Chadema siyo chama cha majuha(ccm).

Hatudanganyiki!!!!

DUHHH!!!!!!! sasa si kasha rudi? Maana yake nini? au tayariii kashaa..........................
 
Nilikuwa nawapenda cuf sana lakini toka muafaka wamebadilika kabisa wamekua na akili za kuku...Kuku anaweza kuwa anakula mahindi yaka ukampiga na kumvunja mguu...lakini ajabu baada ya muda anarudi tena....amesha sahau kama ulimvunja Miguu
Sipendi kusema lakini nasme sasa.....''' CUF akili za KUKU!'''

Just imagine damu ya watu wasio na hatia iliyomwagika pale Pemba kwa kudai haki na sehemu yao ya keki ya Zanzibar wakati sasa hivi Maalimu Seif anakula kuku kwa mrija na kusindikizwa kwa ving'ora vya Mwema!!
 
CUF wako sawasawa na mwanamke ndani ya ndoa hatakiwa kulala na chupi hivyo CUF walivyo hawawezi kuacha kuunga mkono CCM ni bwana wao.
 
:hippie::hippie:he he he he,mwanamke ndani ya ndoa hatakiwa kulala na chupi ,shida yao ilikuwa madaraka na wameshayapata,wnafiki watupu
 
Njaa haina adbu, tulikua tunamshabikia maalimu siku zote watu wanauawa kumbe tulikua tunampigania makamu wa Rais
 
....Halafu of all the people Maalim Seif anadiriki kusema Chama cha upinzani hakitakiwi kupinga kila kitu wakati watu walimfia mikononi mwake mwaka 2001 !!!
 
CUF ya sasa siyo ya wakati ule. Hii ya sasa imeingizwa mjini. Uliona lini mtu mzima anauza ushindi wake kwa peremende!
 
Ndiyo maana ni vizuri kuwa na wagombea BINAFSI. Mtu binafsi unaweza kuwa na TRACK RECORD yake na ukajiridhisha kuwa huyu anaaminika. LAKINI kwenye chama, kuna pumba na mchele kwa kila chama. Humo kwenye pumba, kuna watu makini, na kwenye mchele kuna pumba.

Tuwe makini kupkea wanachama; bora ubaki ni wanachama laki 1 nchi nzima na wengine wawe washabiki tu kuliko kuwa na wanachama mamluki milioni moja na waaminifu laki moja.

Vyama vinasumbuliwa na UMASKINI wa vipato; UMASKINI wa elimu (biggest problem) na kuzaa UFISADI, TAKAKUKURU, nk
 
Back
Top Bottom