Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Hawa wanamgambo wa CUF siwaelewi. Tena siwaelewi kabisaaaaaaaaaa!
Hivi inakuwaje wanakuwa wanaongoza kukaa kwenye mic za waandishi wa habari na kukiponda Chadema??
Tunajua kuwa CUF na NCCR na vyama vingine uchwara walijiita wapinzani ikiwa ni mkakati wa CCM kuipotosha jumuia ya kimataifa na kuiaminisha kuwa Tanzania kuna demokrasia ya vyama vingi, wakati sivyo.
Sasa majibaba Chadema tumekuja kiukombozi zaidi. Acheni kutuchokoa kwa sababu tunajua tunachokifanya na hakuna wa kuturudisha nyuma.
Wakati huu ni wa kutenganisha pumba(CCM,CUF,NCCR,UDP,TLP....) na mchele(Chadema). Then tuingie uwanjani.
CUF wananikumbusha enzi za Tambwe Hiza. Aliwahi kusema 'bora kumlala mama yake mzazi kuliko kurudi CCM'. Leo yuko wapi?? Unafiki hatutaki.
Sasa Hamad Rashid naye anafanya mashauzi kwa kujifanya anajua kuliko vichwa vilivyoko Chadema? Wapi?
Chadema siyo chama cha majuha(ccm).
Hatudanganyiki!!!!