Cuf wamefanya nini pemba toka washike majimbo hayo ili tujifunze?

rimbocho

Member
Jan 11, 2010
73
3
Ndugu zangu, naomba mnijuze mambo waliyo yafanya kule pemba hawa jamaa wa cuf ili nasi tujifunze kuchagua upinzani. huku bara tumeshuhudia Karatu na kigoma ndio maana Chadema wakaweza kuendeleza ushindi zaidi baada ya mifano hiyo michache, je wenzetu wa Cuf wamefanya nini pemba??
 
Waliendeleza chuki dhidi ya CCM ingawa kwa sasa wameanza kushindwa na kuipunguza. Pia wameendeleza dini yao ya Islam na kuttafuta nafasi za Wapemba ili waweze kufanya biashara Dar
 
Pia kunatetesi marekani wanataandaa muswada wa kuwanyima visa wapemba
 
..CCM wamejaribu kila mbinu kujipenyeza Pemba lakini wameshindwa.

..vyama vingine vinapaswa kujifunza mbinu za kupambana na CCM toka kwa CUF.

..huwezi kuchakachua kura za CUF Pemba, labda uchakachue Unguja.

..pamoja na mapungufu yao, kuna mengi mazuri ya kujifunza jinsi ya kuiondoa CCM madarakani.

NB:

..kwanini CUF Bara hawajifunzi toka CUF visiwani?
 
You have nailed! CUF Zanzibar are politically ten years ahead of all opposition parties in mainland
 
You have nailed! CUF Zanzibar are politically ten years ahead of all opposition parties in mainland
stock-photo-cow-pulling-wagon-on-pemba-island-zanzibar-archipelago-tanzania-772504.jpg
Pemba-Island-children-ox-cart-180.jpg
 
Adui yako siyo CUF au CCM au CDM. Adui wa umaskini wako ni kushindwa kuelewa maana ya demokrasia. Uchumi wa nchi, maisha bora, hayaletwi na wanasiasa, ni akili yako ndiyo itakayokusadia.
 
Pia kunatetesi marekani wanataandaa muswada wa kuwanyima visa wapemba

Marekani siyo wabaguzi kama ilivyo TZ. Marekani haitobagua kumpa mtu Visa kwa sababu ni Mpenba, Mchagga, au Mhehe. Marekani ni Taifa liliondelea kiuchumi, mawazo, na idea zenye kuleta mshikamano kwa Wananchi wake, pamoja na dunia nzima. Marekani siyo kama TZ, Marekani haiongozwi ni VIHIYO.
 
You have nailed! CUF Zanzibar are politically ten years ahead of all opposition parties in mainland

Never never on earth! ask them how many seats dothey have on the mainland? ask them how many votes they managed to get countrywide compared to CHADEMA? I think ( ready to be corrected) the ratio was 1:4 labda they are ahead in encouraging terrorism!
 
I like this we have some good 'animals' in JF, my dear I meant because they have serikali ya mseto then they are far 'politically' than mainland, not that I have never mentioned chadema in my case!!!
 
Back
Top Bottom