Uchaguzi 2020 CUF: Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kujulikana Julai 27, katika Mkutano Mkuu wa Chama

Hahah miaka hio kulikua na saundi mara jamaa ni mshauri wa huko IMF,mara anashauri marais mbalimbali duniani mambo ya kiuchumi mara A level matokeo yake kwny somo la Economics yalivunja records haijawahi kufikiwa hadi leo hahah.

Miaka kilikua na uongo ule 1st class.

Miaka ya giza ilinufaisha wengi sana, naamini hata Nchonga ingekuwa zama hizi angeumbuka mengi tu.

Eti lipumba mshauri IMF na WB mambo ya kiuchumi, kumbe porojo tu dadadeeki!!
 
Miaka ya giza ilinufaisha wengi sana, naamini hata Nchonga ingekuwa zama hizi angeumbuka mengi tu.

Eti lipumba mshauri IMF na WB mambo ya kiuchumi, kumbe porojo tu dadadeeki!!
Nchonga mwenyewe angenyoosha mikono juu tu.

Hahah kuja kujua kumbe Prof. anagombea lile jengo lao pale buguruni mpk anaogea humo humo ofisini akiogopa akitoka tu wakina Maalim wanalichukua jengo lao,hahah.
 
Back
Top Bottom