CUF: Wabunge 8 waliovuliwa uwanachama waliamsha "Dude"

msuyaeric

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
838
1,167
Mapema Leo hii wabunge 8 waliovuliwa uwanachama ndani ya chama chw CUF, leo wamepeleka ombi lao la zuio la kuapishwa kwa wabunge wapya walioteuliwa siku chache huko bungeni mjini Dodoma, Ombi hilo limefikishwa katika mahakama kuu, Jijiji Dar es Salaam ...
Na haya ndo waliyoyasema mapema Leo hii baada ya kutoka Mahakamani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama haina uwezo wa kuliamrisha bunge,kila upande upo huru kama ambavyo bunge haliwezi kuiamrisha mahakama isifanye kazi yake.
Hao wabunge waliofukuzwa,wanafanya maigizo tu,wabunge wapya wataapishwa tu kwenye bunge la mwezi ujao
 
Back
Top Bottom