CUF vyuo vikuu tawi la Mlimani - UDSM

Sep 29, 2016
34
83
JUMUIYA YA VIJANA (JUVICUF)

CUF TAWI LA CHUO KIKUU CHA DSM - UDSM (MLIMANI)

inawajulisha wanachama wote wa CUF na watanzani wengine kuwa tumeunda ukurasa wetu maalumu wa Facebook ujulikanao kama

CUF-TAWI LA MLIMANI - UDSM
Ili kupata taarifa zetu tafadhali fuata hiyo link ili kupenda au kulike ukurasa wetu ili kupata taarifa za mara kwa mara za tawi letu.

Link ni hii

C.U.F -Tawi La Mlimani - UDSM | Facebook

Imetolewa na Afisa Habari CUF tawi la Mlimani.

HAMISI KAPALILA

cufmlimani@gmail.com
 
Kama ni tawi la Profesa lipumb hatujiungi, kama ni la maalim Seif tuambie ili tuanze kujiunga
 
Back
Top Bottom