CUF: Tunatoa pongezi za dhati kwa Waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu. Unachora taswira halisi ya hali ilivyo nchini tangu uhuru

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200710-123745.png
Screenshot_20200710-123815.png
 
Mbona CUF hawako makini katika uandishi?..kutuchanganyia herufi ndio nini? Natania lakini naona sio poa.
 
Nimependa reaction yao. Taifa lijue, na Mkapa aliahidi kurekebisha tatizo hilo. Mpaka leo hakuna kitu. Ni wakati muafaka wa vyama kuja juu.
 
"Haki sawa na furaha kwa Watanzania" alafu hapohapo mnatetea watu kwa misingi ya udini??
Kwani rumande wapo masheikh wa uamsho peke yao?
Wanaofukuzwa kazi pasi na kufuata taratibu ni watu fulani peke yao??
Haya basi, hata kama ni hivyo ili tuweze kuushinda huu udhalimu ni vema haki ya mtu ichukuliwe kama haki ya taifa zima, pindi inapovunjwa tukemee bila kujali dini yake, kanda, kabila, chama n.k
 
Nawapongeza CUF kwa kuunga mkono waraka huo.

Pia nawapa angalizo Serikali ya awamu hii chini ya Jpm ni muhimu kuzingatia HAKI na USAWA kwa kila mwanajamii, inasikitisha kuona Sheikh Ponda kukamatwa na polisi kisa waraka wa Shura ya Maimamu ilhali kila mara Maaskofu kina Bagonza wanatoa matamko lakini hawakamatwi!!!

Hii si sawa na mnahatarisha AMANI, UPENDO na MSHIKAMANO uliopo ktk Taifa hili.

TUNATAKA HAKI ITENDEKE KWA WOTE..!!!
 
Mfumo Kristo ndio umebeba taifa hili, bila mabadiko ya kimfumo, mtateseka sana
 
Nawapongeza CUF kwa kuunga mkono waraka huo.

Pia nawapa angalizo Serikali ya awamu hii chini ya Jpm ni muhimu kuzingatia HAKI na USAWA kwa kila mwanajamii, inasikitisha kuona Sheikh Ponda kukamatwa na polisi kisa waraka wa Shura ya Maimamu ilhali kila mara Maaskofu kina Bagonza wanatoa matamko lakini hawakamatwi!!!

Hii si sawa na mnahatarisha AMANI, UPENDO na MSHIKAMANO uliopo ktk Taifa hili.

TUNATAKA HAKI ITENDEKE KWA WOTE..!!!

Unaipongeza CUF hii ya Lipumba au CUF/ACT?
 
CUF wako sahihi
Serikali ya awamu ya Tano Imejaa Udini
Siyo awamu ya 5 tuu. Malalamiko Kama haya huwa yapo awamu zote.

Wakati tunamaliza chuo UDSM, rais alikuwa muislamu na waziri wa fedha alikuwa muislamu. Walihitajika assistant lecturers pale IFM (chuo kilikuwa chini ya wizara ya fedha). Although kulikuwa na wenye 1st na 2nd upper class (wakristo), waliajiriwa waislamu wenye pass za kuunga unga toka chuoni kwetu.

So, ingawa kazi ni ya kitaaluma inayohitaji ufaulu wa juu, kigezo cha ajira ilikuwa dini tuu
 
"Haki sawa na furaha kwa Watanzania" alafu hapohapo mnatetea watu kwa misingi ya udini??
Kwani rumande wapo masheikh wa uamsho peke yao?
Wanaofukuzwa kazi pasi na kufuata taratibu ni watu fulani peke yao??
Haya basi, hata kama ni hivyo ili tuweze kuushinda huu udhalimu ni vema haki ya mtu ichukuliwe kama haki ya taifa zima, pindi inapovunjwa tukemee bila kujali dini yake, kanda, kabila, chama n.k
Mfano, huwezi kuwasikia wakiongelea Tundu kupigwa risasi kwa kuwa siyo wa dini yao!!
 
'Divide & rule' ndo hii sasa ipo wazi, kiongozi (watawala) anavunja haki kwa misingi ya kuwatenga kidini, kikabila ili nanyi mgawanyike vivyo hivyo kudai haki.
Mnakuwa mmeenda mulemule alipotaka yeye.
 
Back
Top Bottom