wakuu
naomba kuuliza makamanda. tumewasikia wenzetu wametueleza mazingira yote kwa upande wao.ni kwa nini wasingejadili pia sababu ilizozitoa Tume ya Jecha na kutupa majibu moja baada ya nyingine ili tuweze ku balance story. ingekuwa vizuri katika mazingira ya sasa ya kidemokrasia kutoa balanced story ili tuweze kupima na kwa sababu kiuhalisia Tume nayo ina viongozi waliobobea kwenye sheria na weledi ulioshiba. wao nao wana sababu zao. watu siku hizi ni wachambuzi hawapendi kukurupuka kama wengi wetu tunavyotaka. chondechonde tudadavulieni haya. msituweke njia panda tuwe washabiki tuu tusiojua nini kinaendelea.