CUF sasa yatishia kuwafukuza wabunge wake kwa kutochangia shs 1,250,000 kila mwezi kama mbunge. Lipumba na Sakaya watishia kuwanyima mafao yao

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,571
2,000
FB_IMG_1582569366901.jpg

LIPUMBA AENDELEA KULIA NA KIINUA MGONGO CHA WABUNGE WA CUF,AMBAO HAKUSHIRIKI KUWATAFUTA, SAKAYA AMPASULIA, HAWAMPI HATA THUMNI, LIPUMBA ATISHIA KUWAFUKUZA CHAMA.

Na mzee Jabir Ali

Fadhaa ya kutafuna pesa za ruzuku ya Kafu inaendelea kushika kasi baada ya Lipumba na wapiga dili wenzake kuja kivyengine kudai kila mbunge wa kafu sasa anatakiwa kulipa mulioni 50 kama si hivyo lipumba na Genge lake watawafukuza chama hivyo kukosa haki zao zote.

Akizungumza na mzee Jabir mbunge mmoja shupavu alisema kwa hili Alhamdulilah tumeungana sote Hata sakaya Naibu katibu mkuu wa cuf bara yuko upande wetu, alisema Sakaya amewaambia yeye hawezi kutoa milioni 50 ambazo anajua fika haziendi kufanya kazi za chama ila lipumba na genge lake wanataka wagawane.

Mbunge huyo akimnukuu sakaya alisema kama ni chama kinapata Ruzuku kila mwezi ambayo ni milioni 180 na mgogoro wa cuf ulipoisha Benk kulikua na bilioni 2 jee zimeenda wapi?

WABUNGE WENGINE WA KAFU NJIANI KUUNGANA NA KATANI AHMAD KATANI

Imeelezwa baada ya Lipumba kukidhoofisha na kukiuwa chama cha Kafu baadhi ya wabunge wake wako njiani kukihama chama hicho na kuhamia CCM, wabunge hao ni
HAMIDU BOBALI mbunge wa NCHINGA
VEDASTO NGOMBALE Mbumbe wa

Kwa upande wa ZANZIBAR NI

YUSSUF KAIZA CHAKE CHAKE

AHMED JUMA NGWALI WAWI
JUMA HAMAD OMAR OLE

RUKIA KASSIM VITI MAALUM
Na mwengine anaetarajiwa kujiunga na CCM NI Mbunge mstaagu jimbo la chonga HAROUB SHAMIS, na amumueleza muandishi kama atagombea ubunge jimbo la chonga kupitia CCM.

Kwa upande wa wananchi waliozungumza na mzee Jabir Ali wamelaani kitendo cha wabunge hao kwenda ccm kwani hawamkomoi Lipumba ila wanawavunja moyo wananchi ambao walikesha jua mvua kuhakikisha wanakua wabunge wakati huo lipumba akiwa hayupo nchini amekimbia mapambano anakunywa mvinyo nchini RWANDA,.

WANAODAIWA KUFANYA UASI KUFUKUZWA KAFU,

Kama nlivowahi kuriport lile kundi la waasi kutoka zanzibar linaloongozwa na
ALI MAKAME
NASSOR SEIF AMOUR
DIFAAA

Dhidu ya Kundi la THINEY, Kiini cha ugomvi wao ni Ruzuku inayoletwa zanzibar milioni 34 ambazo Thiney na kundi lake wanakula peke yao huku kundi la mpambanaji ALI MAKAME likilia njaa, pamoja na usaliti wote alioufanya Ali Makame na kundi lake wamewekwa pembeni hawaambulii kitu,
RUKIA

Habar zinasema mda wowote watafukuzwa kwa kusababisha mgawanyiko katika chama, akizungumza na Mzee Jabir mmoja wa Washukiwa alisema tunasubir tu watuite ndi watajua KACHUMBARI MBOGA, NA MCHICHA MBOGA, lakini ameapa hatoficha kitu ikiwemo ubadhirifu wa lipumba na genge lake. Akatolea mfano lipumba kanunua gari old model kwa milioni 80 lakini akasema kalinunua kwa milioni 230,

KUNDI JENGINE LAJIPANGA KUMUOMBA RADHI MAALIM SEIF,

Kundi jengine lilokuwa linaongoza fitna pale kafu linajipanga kumuona mshauri mkuu wa ACT WAZALENDO MAALIM SEIF ili kumuomba Raddhi ikiwezekana awapokee,
Wito wetu kwa Maalim seif tafadhali hilo kundi la wasaliti hapana kukutana nao, bora waende zao ccm, huku watatuletea madhara makubwa,

MZEE JABIR ALI BABA LAO.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
107,007
2,000
Namuona Lipumba anawachungulia kusikilizia wabunge wana msimamo gani
View attachment 1368373

FB_IMG_1493312084620.jpeg

In God we Trust
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
13,599
2,000
CCM wanamuunga mkono Lipumba!Ukiona hivyo jua CUF imezikwa rasmi na Lipumba anapiga hela ya mwisho mwisho!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom