CUF: Ni ukomavu wa kisiasa au Kukosa uelekeo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF: Ni ukomavu wa kisiasa au Kukosa uelekeo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Utingo, Feb 9, 2011.

 1. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kwa alliance hii ya CUF, je ni ukomavu wa kisiasa, Confusion au kuitumikia CCM

  CUF+CCM Zanzibar=serikali ya umoja wa kitaifa
  CUF+CCM Muungano=kizingiti kikubwa ca CHADEMA Bungeni
  CUF+NCCR, TLP, UDP=kumbi isiyo rasmi ya upinzani iliyo rasmishwa rasmi na CCM bungeni
  CUF + CHADEMA= Kambi rasmi bungeni?????!!!!!!!!!!! ghrrrr

  CUF is no longer a party bali vuguvugu lisilo na uelekeo, hakuna chama chochote duniani chenye alliance ya namna hii.

  CHADEMA waachane na mambo ya kambi ya upinzani bungeni. chadema should concentrate on operation sangara. Hizo kamati za bunge wamwachie kafulila na hamadi rashid. besides ruzuku yao ni kubwa, wakiitumia vema kuinadi chadema nchi nzima, next time nchi itakuwa na wabunge wengi si kama ilivyo sasa. (I don't count jamaa wa ccm, TLP, NCCR na CUF kuwa ni wabunge, bali wajumbe na wasikilizaji tu)

  CHADEMA achaneni na hii kambi kabisa you have a very important work to do outside the parliament.
   
Loading...