CUF ni Laptop ya CCM bungeni

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Messages
3,397
Points
1,250

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2009
3,397 1,250
Cuf sasa ni kama lap top ya ccm bungeni itakayotumika kupitishia hoja
zake mbofu mbofu juu ya mstakabari wa taifa, kwa kweli cuf sasa hawawezi kupindua
mbele ya ccm ambayo ni kama mume wa cuf kwa sasa, maana viongozi wote wa CUF wameajiriwa na serikali ya ccm

...................................................tujadiri..................................
 

Forum statistics

Threads 1,389,178
Members 527,857
Posts 34,019,144
Top