sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Igunga kumeshika moto , kila chama kinajaribu kutumia kila weredi ili kiibuke mshindi, lkn swali ninalojiuliza mwenzenu hadi hivi sasa. hivi CUF bado ni wapinzani..? je kama hivyo ndivyo iweje tena waanze yaleyale ya pemba walipowawekea NCCR pingamizi na leo jambo hilohilo wamelirudia huko IGUNGA....? tuwaiteje hawa......?