CUF ni chama cha upinzani...?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Igunga kumeshika moto , kila chama kinajaribu kutumia kila weredi ili kiibuke mshindi, lkn swali ninalojiuliza mwenzenu hadi hivi sasa. hivi CUF bado ni wapinzani..? je kama hivyo ndivyo iweje tena waanze yaleyale ya pemba walipowawekea NCCR pingamizi na leo jambo hilohilo wamelirudia huko IGUNGA....? tuwaiteje hawa......?

pingamizi ni haki ya kila chama, haiwezekani cdm wasimamie mwizi halafu waachiwe, vyama vyote vifuate sheria. wenyewe si walichukua fomu za pingamizi wameona mgombea wa cuf ni msafi ndio maana wamekosa la kuandika!

Igunga kumeshika moto , kila chama kinajaribu kutumia kila weredi ili kiibuke mshindi, lkn swali ninalojiuliza mwenzenu hadi hivi sasa. hivi CUF bado ni wapinzani..? je kama hivyo ndivyo iweje tena waanze yaleyale ya pemba walipowawekea NCCR pingamizi na leo jambo hilohilo wamelirudia huko IGUNGA....? tuwaiteje hawa......?

tena chenye nguvu bara na visiwani hakuna kama CUF.

Katika uchaguzi mdogo Mbeya vijijini walimuwekea pingamizi aliyekuwa mgombea wa cdm na kumuondosha kwenye kinyang'anyiro na wakafanikiwa kuwapa ccm-a ushindi

Igunga kumeshika moto , kila chama kinajaribu kutumia kila weredi ili kiibuke mshindi, lkn swali ninalojiuliza mwenzenu hadi hivi sasa. hivi CUF bado ni wapinzani..? je kama hivyo ndivyo iweje tena waanze yaleyale ya pemba walipowawekea NCCR pingamizi na leo jambo hilohilo wamelirudia huko IGUNGA....? tuwaiteje hawa......?

CUF siyo wapinzani, ila wapo kwenye kampeni kwa mpango maalum wa CCM, kwa kutaka kugawa kura za wapinzani. Kumbe hawajui kwamba kwa ndoa waliyonayo wenye mapenzi na ccm wataona hata wakiipigia kura cuf wameipigia kura ccm. Hilo ndilo litakalosaidia CHADEMA kuibuka ushindi wa kishindo kwa kuwa ccm na cuf watagawana kura kama walivyo kwenye ndoa yao.

Kwani CDM ni chama cha siasa? au ni NGO ya Wachagga

nawashangaa hao wanashabikia cdm na huku wakienda mi..ndu juu hawajui kuwa cdm ni taasisi ya wachaga, ndio maana zitto aliambiwa na mtei siwezi kukupa uenyekiti nampa mkwe wangu mbowe.

Vyama vya upinzani Tanzania
1.Chadema
2.CUF
3.NCCR-Mageuzi
4.TLP
5.UDP
6..............
7........................

Vyama vya upinzani Tanzania

1.Chadema

2.CUF

3.NCCR-Mageuzi

4.TLP

5.UDP

6..............

7........................

umeielewa post? Nina wasiwasi na GPA yako.

Vyama vya upinzani Tanzania

1.Chadema

2.CUF

3.NCCR-Mageuzi

4.TLP

5.UDP

6..............

7........................

mkuu hivyo haviitwi vyama vya upinzani,vinaitwa vyama vya siasa TANZANIA! Viko takribani 18, tujaribu kuvikumbuka!

Igunga kumeshika moto , kila chama kinajaribu kutumia kila weredi ili kiibuke mshindi, lkn swali ninalojiuliza mwenzenu hadi hivi sasa. hivi CUF bado ni wapinzani..? je kama hivyo ndivyo iweje tena waanze yaleyale ya pemba walipowawekea NCCR pingamizi na leo jambo hilohilo wamelirudia huko IGUNGA....? tuwaiteje hawa......?
CUF kiliacha kuwa chama cha upinzani kilipoingia ubia wa utawala na CCM ili kukidhi kiu ya Uongozi ya Maalim Seif.

hoja ya kuuliza kama cuf chama cha upinzani au vipi naomba akaulizwe masajili wa vyama wengine mtakuwa mnajaribu kuridhisha matakwa yenu na kuibuwa hoja zisizo za msingi

Back
Top Bottom