CUF na Viongozi Wake wa Kambi ya Upinzani Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF na Viongozi Wake wa Kambi ya Upinzani Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nsololi, Jan 19, 2012.

 1. N

  Nsololi JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa nikijiuliza hivi inakuwaje CUF kuwa na migogoro na wabunge wake wanaokuwa muhimu sana wakati fulani lakini wanaishiwa kuwa hawafai na kuishia kufukuzwa au kuachwa kabisa katika vyombo vya maamuzi na kuishia kuhama chama.

  Alianza mama .....(nimesahau kido jina lake) aliye kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mwaka 1995 - 2005. Mwisho akaishia kutemwa kugombea ubunge na baadaya kuhamia CCM.

  Hamad Rashid naye yamemkuta. Kuna nini huko CUF???????
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyo mama aliitwa mama Fatma Maghimbi.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  subirini chadema tumeshaweka target
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Mkuu huwezi kujadili habari ya chama chenu bila kuitaja chadema?
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mwandishi mwenyewe chadema, sasa unategemea nini?
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Jina lake ni Bi Naila Majjid Jidawi.

  Baada ya kufukuzwa alijiunga na NCCR na kugombea urais wa Znz kupitia NCCR na kuanguka kwa kasi kubwa sana.

  Sasa yupo Znz anendesha biashara ya hotel ya kitalii shamba. Kisiasa hajulikani kama yu hai au amekufa.

  nahisi na Hamad Rashid atapita njia hiyo hiyo lakin yeye atakuwa Dar akiendesha biashara yake ya duka la nguo pale Kariakoo.

  Tuwe na subra tutayaona hayo.

   
 7. r

  rwazi JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shida ya hamadi ana tamaa sana ya uongozi nadhani mlishuhudia jinsi alivyo shupalia uongozi wa upinzani mpaka akahakikisha yeye na kafulila wanaiharibia chadema. wacha wapate malipo yao ni hapahapa wala sio badae ataangaika sana kuanzisha chama sasa hivi anabuy time tu ili apatenguvu za kusonga mbele wala hawezi kuendelea kuwa kaf
   
 8. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu swali la msingi ni kuna sababu zipi zinazopelekea viongozi muhimu kuvuliwa uanachama, ila ww umejikita zaidi kutoa maelezo ya ziada, ningependa kama tungeweka sababu za msingi. Mi naona sababu ya msingi ni siasa za kuangalia mtu badala ya itikadi na sera zinazosimamiwa na chama sidhani kama wanaovuliwa uanachama wanakuwa wamebadilika kiitikadi au kisera za kuongoza nchi ila ni hulka ya cuf kuangalia ulaji wa wateule ndani ya chama na kuendelea kumaintain status quo yao ya kutotaka kubadili uongozi toka chama kuanzishwa.
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hakuna kiongozi au kiongozi muhimu au mwanachama . HAKI SAWA KWA WOTE.

  Wote wanatakiwa kufata sheria na kaanun na taratibu za Chama walizojiwekea wenyewe na sio kwenda kinyume kwayo.

   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Matatizo yote yanayoikumba cuf ni laana kutoka kwa wanamageuzi wa kweli hapa nchini kwani cuf imekuwa bega kwa bega na ccm ili kuhakikisha wanasupres upinzani.
   
 11. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hapana kaka, nadhani alikuwa anamuongelea Fatma Maghimbi... alikuwa kiongozi wa upinzani bungeni na sasa ni CCM
   
 12. N

  Nsololi JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2007
  Messages: 290
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Sawa Kabisa. Ni Fatma Maghimbi, nadhani alikuwa mbunge kwa vipindi viwili, 1995-2000, na 2000 - 2005.

  Inawezekana maelezo ya Chakunyuma yakawa na ukweli kiasi juu ya sababu migogoro viongozi wa chama na hawo wabunge viongozi wao bungeni.
   
 13. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sioni kama kuna la kushangaa hapa maana hata chadema wamewafukuza madiwani wao huko Arusha na hata kwenye msiba wa regia huko morogoro mwenyekiti wa cdm alifukuzwa ktk msiba na kusababisha vurugu kubwa! bila kumsahau Kafulile kufukwa kwake!

  hata enzi ya Tanu baba wa Taifa aliwafukuza Kambona, kasela bantu, Maalim Sefu, Hamad Rashid
  shabani Mloo na wengine!
   
 14. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160

  Two does'not make coincidence.
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Bora wewe umesema.

  Nashangaa kwanini kufukuzwa Hamad Rashid na CUF imekuwa nongwa?
  Ebo kwani Hamad ni nani kwenu?

  CUF hawamtaki wameweka hilo bayana. Atafute tu kwa kwenda.

   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu sikuipata hii ya mbowe kufukuzwa kule moro kwa regia. tafadhali hebu tueleweshe vizuri. Je ni kama alivyofukuzwa kule Tarime kwa Chacha Wangwe? I wll be back soon to see it.
   
 17. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa sera za CUF hakuna mtu muhimu kuliko mwengine. HAKI SAWA KWA SAWA. sasa kama Hamad alijiona yeye ni bora kuliko wengine hayo ndo madhara kwake kisiasa. ila kimaisha yanaendelea kama kawa.
   
Loading...