CUF na CDM nani zaidi kwenye maandamano?

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,306
6,514
Wakati CUF walipokuwa chama kikuu cha upinzani walikuwa hawatanii pindi wakiitisha maandamano, waliyaratibu vizuri na kuyatekeleza kwa umakini sana hadi wakaitwa Ngangari. Wote mnakumbuka shughuli yao na Mahita ilivyokuwa pevu.

Chama kikuu cha upinzani CDM wamekuwa mabingwa wa kuitisha maandamano pasi na ya kuyatekeleza......UKUTA umeahirishwa hadi Octoba mosi.....tunasubiri.


Je kwa muktadha wa kuandamana kati ya CDM na CUF nani amefanikiwa zaidi na kumshinda mwenzie?

Hoja hasi (TCRA wapo) na chanya zinakaribishwa.....where we dare to talk openly
 
Back
Top Bottom