CUF msiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa. CHADEMA (hii ya Mbowe) haijawahi kuwa marafiki zenu

Ni DOLA TU ndio inayoweza kufanya hivyo. Lakini Dr. Slaa ambae ni mwerwevu zaidi katika mambo ya siasa alishindwa baada ya kusaliti chama chake, si rahisi kwa Pro.huyu ninaemjua kama atahimili hayo. Anabururwa tu na shemere yake.
time will tell and always the truth will reveal.
 
Unawish wagawane mbao,basi utasubiri sana ila msubiri Lipumba Lumumba hostel,kwa sasa hata ACT nasikia hawataki hata kumsikia
endelea kusikia na kuota ndoto za mchana. but soon mtaelewa tu.
 
wacha kupindisha ukweli. mnufaika mkuu kwa UKAWA kwenye uchaguzi wa 2015 ni CUF.miaka yote wakati Lipumba alipokuwa ndiye mgombea urais kupitia CUF chama kilikuwa kinazidi kupoteza umaarufu hasa huku bara hadi kikabaki na mbunge mmoja tu. kutokana na nguvu ya UKAWA chama cha CUF kimejizolea wabunge na madiwani wengi zaidi kuliko miaka yote. sasa utasema hapo aliyenufaika na UKAWA ni CHADEMA? bado unawadanganya CUF kuwa wakijitoa kwenye UKAWA ndipo
watakuwa na nguvu zaidi? au unazidi kuwachimbia kaburi?
kama ni suala la kupata wabunge wengi vyama vyote vimeongeza wabunge. kwa hiyo hoja yako ni mfu. CUF inahitaji kuangalia masilahi yake kwa ukaribu zaidi kuliko masilahi ya ukawa.
 
je lengo la kuundwa ukawa lilizingatiwa?
halafu usijidanganye CUF itakufa.
mstakabali wa CUF kwa maendeleo yao ni muhimu sana kuliko wa umoja wao katika UKAWA. kama masilahi yao yanaathirika kwa sababu ya ukawa haina maana ya kubaki humo. na kama yanalindwa basi ni bora waendelee kubaki ndani ya ukawa. ni suala la kuangalia masilahi ya chama zaidi. labda nikuulize swali dogo tu. hivi unafikiri kama masilahi ya chadema yangekuwa yanaathirika wangebaki ndani ya ukawa?
Kwa hali hiyo kinachokukera wewe ni uwepo wa cdm ktk ukawa ?! Nimekuelewa vita yako na wala si ushauri kwa Cuf
 
Kwa hali hiyo kinachokukera wewe ni uwepo wa cdm ktk ukawa ?! Nimekuelewa vita yako na wala si ushauri kwa Cuf
kila lengo la chama ni kushika dola. chadema kuungana na CUF ni kwa kuwa wanajua wao ndo watakaogain zaidi kuliko CUF. hata ikitokea wameshika dola CUF wataungana na akina CCM, NCCR na kadhalika kuwa vyama vya upinzani vikitaka kuiondoa chadema madarakani. kwa hiyo lengo la uzi wangu sio chadema bali kuwashauri wana-CUF waangalie mustakabali wa future yao. otherwise they are gone.
 
je lengo la kuundwa ukawa lilizingatiwa?
halafu usijidanganye CUF itakufa.
mstakabali wa CUF kwa maendeleo yao ni muhimu sana kuliko wa umoja wao katika UKAWA. kama masilahi yao yanaathirika kwa sababu ya ukawa haina maana ya kubaki humo. na kama yanalindwa basi ni bora waendelee kubaki ndani ya ukawa. ni suala la kuangalia masilahi ya chama zaidi. labda nikuulize swali dogo tu. hivi unafikiri kama masilahi ya chadema yangekuwa yanaathirika wangebaki ndani ya ukawa?
halafu hili li Abunuas huwa linapenda sana kujitoa akili. CUF walikuwa na wabunge 2 bara lakini baada ya kujiunga na UKAWA sasa wana wabunge 10, sawa na ongezeko la 400%. sasa hapa CUF wamenufaika na UKAWA au wamepata hasara? nawashangaa sana vibaraka wa CCM wanaopanua midomo humu kama makinda ya ndege wakijaribu kutunga uongo uchwara na kuleta uchochezi usiokuwa na tija kwa UKAWA.
 
Sote ni mashahidi kwa jinsi CUF walivyokumbwa na mgogoro kwa sasa ukiwahusisha viongozi wakuu kabisa wa chama (Prof. Lipumba-m/kiti na baadhi ya wana-CUF kwa upande mmoja na Maalim Seif-katibu na baadhi ya wana-CUF wengine kwa upande mwengine).
chanzo hasa cha mgogoro na wanaou-engineer na chadema. Urafiki uliopo kwa sana kati ya chadema na CUF kwa upande wa Seif ni wakuinufaisha chadema na pengine kuifuta kabisa CUF. Chadema hawajawahi kuwa marafiki wa kweli wa CUF. Kuungana kwao kwenye UKAWA kulichangiwa kwa kiasi kikubwa na kufifia kwa chama chao hasa baada ya kumfukuza Zitto. Tumeona kwa jinsi walivyokuwa wakiwatukana nyie CUF bungeni kwa kwenye majukwaa mengine kwa kila aina ya matusi, mara wawaite CCM B mara wanashirikiana na mashoga n.k.
Mifano ni mingi;

1) Hata hili la umeya, CUF wamekuwa na nafasi ya unaibu meya tu kwani wenye haki ya kutoa meya ni chadema tu. kazi ya CUF ni kuwapitisha chadema tu na kuwapinga CCM. ila wao hawana haki ya kuwa meya

2) Ni hao hao chadema waliohakikisha kuwa mtatiro hapati ubunge segerea kwa kumsimamisha mwanachama wao kwa makusudi huku wakijua kuwa Mtatiro ndo aliyepitishwa na UKAWA. lengo lilikuwa kuidhoofisha nguvu ya CUF Dar. na matokeo yake baada ya yule mwanadada kufanikisha lengo akazawadiwa ubunge wa viti maalumu. kwani walishindwa nini kumuambia kuwa watampa ubunge wa viti maalum, hilo jimbo amuachie mtatiro? MTATIRO HUJIULIZI HATA HILO DOGO TU. akili kichwani

3)Vyombo vyote vya habari vinavyoipamba chadema havijawahi kuandika jema lolote la CUF na hata pale walipoandika lazima nyuma yake kuwe kunainufaisha chadema kwa namna moja au nyingine. angalieni mfano TD ni vile vyombo vya yule mheshimiwa. utafikiri CUF ndo iliyokuwa ikiongoza nchi

4) Seif huyo huyo wanayempamba leo hii alipokuwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa aliitwa CCM B. leo hii kwa sababu anawanufaisha kila kona anasifiwa. Ieleweke kwamba Nguvu ya Seif Zanzibar haina hata nukta ya mchango wa Chadema.
Mifano ni mingi.....

Huu ni muda muafaka Kwa viongozi wakuu kukaa meza moja na kujadili mustakabali wa chama chenu. kufukuzana na kutunishiana misuli hakutawasaidia chochote. mkubali mmekosea sehemu moja na sasa unganeni maisha ya songe. walifanya hivyo akina marando-katibu na mrema-m/kiti NCCR mageuzi kipindi hicho sote ni mashahidi kwa kilicho wakuta.

chadema kwenu ni kama karanga za kuonjeshwa wakati ukitafuna big G yako. Siku interests zao kwenu zitakapoisha ndo mtawatambua chadema ni nani.

Huu ni ushauri wa wazi kwa wana-CUF. wengine piteni tu kama vipi.
Thread nyingine zinatia hasira sana, itachukua karne wapumbavu kama ninyi kufutika katika kizazi hiki!
 
halafu hili li Abunuas huwa linapenda sana kujitoa akili. CUF walikuwa na wabunge 2 bara lakini baada ya kujiunga na UKAWA sasa wana wabunge 10, sawa na ongezeko la 400%. sasa hapa CUF wamenufaika na UKAWA au wamepata hasara? nawashangaa sana vibaraka wa CCM wanaopanua midomo humu kama makinda ya ndege wakijaribu kutunga uongo uchwara na kuleta uchochezi usiokuwa na tija kwa UKAWA.
ukweli utajulikana tu muda sio mrefu.
 
Back
Top Bottom