Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Nachukia kusema hili maana najua wengi hawatanielewa. ila ukweli upo hivyo kuwa HAITOKUJA KUTOKEA ZANZIBAR CUF au chama pinzani kikachukua nchi kama ambavyo bara pia haitatokea chama pinzani kuchukua nchi.
mwaka 2015 ulikuwa ndio mwaka pekee ambao watu waliamua kwa hali na mali kuiondoa CCM madarakani. Haitatoke tena jambo hili mpaka miaka mingi ipite. Na ili zanzibar watawale chama cha Upinzani ni lazima ccm iondolewe madarakani huku Bara. Na huku Bara hakuna dalili za ccm kuondolewa madarakani.
Hivyo kwa miaka mingi CCM wataendelea kutawala na CUF wasahahu kabisa habari za kuongoza Zanzibar kwa kuwa haitatokea chini ya Jua kwa Njia ya Kupiga Kura. Na hili ni somo jingine tunalopaswa kujifunza.