onchoseciasis
Member
- Sep 24, 2011
- 33
- 3
hapo kwenye red sasa!! watawezaje kupambana na mtu waliefunga nae ndoa?Mtatiro nakufaham sana jinsi ulivyo strong tangu tulivyokuwa kwenye harakati chuo. Pole kwa matokeo ya Igunga, naamini ukitulia utaendelea kujifunza mengi kutokana na matokeo hayo!
Ushauri wangu mdogo kwako, Ikiwa kweli unadhamira ya kuijenga CUF, basi usijaribu kuibomoa kwa kuiponda CDM! Tumia nguvu zako nyingi kupambana na wadhalimu CCM na utashinda. Kuiponda CDM ni kujijengea chuki mbele ya wananchi wengi ambao kwa sasa wanaiona kuwa ni mkombozi wao! Kwa hiyo kupambana na CDM kutapelekea kuiua CUF...