CUF; kwa nini siku hizi mnafanya mikutano yenu vichochoroni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF; kwa nini siku hizi mnafanya mikutano yenu vichochoroni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 24, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nauliza wanajamvi:

  Kwa nini CUF siku hizi wanafanya mikutano yao kimya kimya tu tena katika maeneo ya vichochoroni? Ni tofauti na CDM ambayo mikutano yake hufanyika katika maeneo makubwa na ya wazi -- na hutangazwa bila woga hadi polisi hujishauri kwanza kuilinda kwa sababu ya nyomi.

  Nadhani CUF wanapendelea vichochoroni kwa sababu ya kuogopa kukosa nyomi.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Chonde sitaki kucheka jamani ...
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hata mimi hilo nalishangaa sana -- inakuwaje? Maana siku hizi nashitukia tu humu JF mtu kaweka thread ikisema HRM kaikandia hivi CDM, au Profesa wa Pumba kaichokonoa vile. Hata katika magazeti huwa habari hizo sizioni, labda katika AnnNur au AlHudda ambayo siyanunui -- na wengi wasio Waisilamu nadhani hawayanunui!

  Kweli CUF inadondoka vibaya!
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nami pia sina mbavu jamani. Hebu tuache utani humu ndani, ingawa hayo mambo hata mimi siku hizi yananishangaza -- hasa nikikumbuka zile nyomi za CUF za mwaka 2000!! Dunia kweli hubadilika lol!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  It's the beginning of the end! Polepole wanatambua kwamba maharage siyo mboga bali ni dawa ya tumbo!
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  mkuu ... yaani nimecheka mpaka usingizi umekwisha ... what an observation ....?
   
 7. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mambo yanayo pangwa na CUF www.mzalendo net kuvunja Muungano
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nikikuwa nachat na Mtatiro kupitia facebook,jamaa kachoka yani kapotea njia lakini jinsi ya kurudi anashindwa anaona aibu.....wale wakristo mnamkumbuka farisayo Nicodem aliyekwenda usiku kumuuliza maswali Yesu maana aliogopa macho ya watu mchana...Mtatiro ashauriwe jamani.Hope wapo hapa wanaJF waliosoma nae pale UDSM anaweza kuwasikiliza.......................
   
 9. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aibu; ndoa na CCM. Hawakujua kama mambo yangekuwa hivi! wamemezwa
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Mimi kinacho nishangaza ni Hamadi Rashid, Mtatairo, Pumba kuwashambulia CDM as if CDM ndio chama tawala badala ya kuishambulia CCM mafisadi, sasa wao wamekuja kuendeleza demokrasia, aui kutugawa au wamesajiliwa kuitetea CCM mafisadi? hivi matatizo ya leo ya waTz yanaletwa na CDM au CCM mpaka kipa umbele kiwe kuisakama CDM
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huwa namuheshimu anaesema ukweli lakini sijui hapa nani alieanza huo mgawanyiko? Kwa vile jawabu liko wazi sihitaji jibu!
   
 12. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Cuf, Cuf, Cuf kwisheney, vivaaaaa Chademaaaaa. Peoplesssss
   
 13. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawana jipya wamefulia
   
 14. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hata misikiti ipo vichochoron
   
 15. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Kwisha habari yao wamebaki kusema uongo tu!!!:lol:
   
 16. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  WABUNGE NA VYAMA VINAVYOTAMANI KUHESABIWA UMAKINI TANZANIA:
  TAFUTENI HARAKA ELIMU SAHIHI JUU YA MAANA, CHANGAMOTO NA USHIRIKI WA MAFANIKIO NDANI YA MFUMO MPYA WA 'SIASA ZA USHINDANI' ILI MUENDELEE KUMUDUU NA KUDUMU

  Ingawaje mwenye kutundika thread hii katusababishia wengi kucheka mbavu kuuma lakini baada ya kicheko ni wazi kwamba kuna mambo mengi sana ambayo watu na vyama, kama washiriki, kwa bahati mbaya hawajagundua kwamba tayari yamebadilika kabisa na kamwe hayatokaa yarudi kuwa kama zamani kisiasa nchini.

  Kweli ni masikitiko makubwa sana kwamba watu wengine hufikiria kwamba mtu unaweza tu ukaingia kwa jambo lililoitwa 'jipya' lakini bado ukatumia tu mbinu zile zile, lugha zile zile, na kashfa zile zile na bado ukaendelea tu kufanikiwa; laa hasa!! Pindi usikiapo kuna mabadiliko, kwa wale watu wadadisi wa mambo, ni sharti utafute kujua ya kwamba (1) ni kitu gani hasa kilichobadilika, (2) kivipi kimebadilika, (3) kwa sababu zipi, (4) na huko nyuma hali ilikuaje na sasa yakoje, (5) je mimi mwenyewe naendana na au siendani na mfumo huo mpya kwa kiasi gani hasa, (6) nifanye jitihada zipi (si kwenda Mlingotini) zinazokubalika ili niendane na mfumo mpya kwa namna ambavyo nitapata uhakika wa kung'ara KIUTENDAJI (si ki-ndumba) ndani na nje ya chama changu kusudi nisiwe mzigo wa chama na wapiga kura wala kulazimika kupanda BP kila wakati ...

  ... na maswali kama hayo yafanyiwekazi KIUHAKIKA NA UNYENYEKEVU zaidi wa kutafuta kule upya wa KUJIVUA GAMBA LA ZAMANI kwa wakati mwafaka na kujivisha GAMBA MPYA NA INAYOKUBALIANA NA MAZINGIRA YALIOPO na kwa mtindo utakaompendeza zaidi yule bosi na au mlaji wako wa mwisho ambaye ni MHESHIMIWA MPIGA KURA.

  Bila kufanya hivo basi niwaambieni HABARI MBAYA SANA kwamba kwa kipindi cha miaka michache ijayo, kwa tafsiri yangu ya mambo kitaaluma, bunge letu huenda ikabahatika kupata ugeni mkubwa wa Wabunge Vijana zaidi, Wasomi zaidi, na hata wakawashangaza zaidi wazee kwa kushinda kwao Uchaguzi kiurahisi zaidi bila hata kuhitaji utajiri mkubwa wa kuhonga mtu alimradi mtu huyu aje asome ninayoyaandika humu, akayafanyia HOMEWORK ya kufa mtu ndani ya miaka miwili mitatu hivi na kisha anapojitokeza ulingoni atakuta anazungumza lugha inayooana zaidi na mazingira yaliopo, akawa anazungumza na baadaye kushughulikia zaidi matatizo hasa yanaokubaliana fika na matarajio ya mabosi wake; waheshimiwa wapiga kura.

  Nirudie kwamba kwa sasa hivi ni rahisi mno kwa mtu anayejua dhana ya SIASA ZA USHINDANI unaotegemea nguvu za idadi na U-smart wa watu wanaojitokeza kugombea ukilinganisha na kuendana kwao na mahitaji halisi ya wakati uliopo wa mlaji wa mwisho wa HUDUMA ZA KIUONGOZI anazotarajia kutoa akishinda.

  Ndio nasema kwamba wapo wanasiasa wengi ambao bado huendesha mambo yao kisiasa lakini kwa kutumia fikra na mbinu za zamani katika kipindi ambacho ni tofauti kabisa. Huko nyuma siasa za fitina, majungu, kuunda zengwe, kupiga domo na kumwaga hewa tupu, kununua vyeo na wapiga kura, mtoto kurithiswa chama cha siasa cha kufuata, kurithishana uongozi na mambo kama hayo yote yalihesabiwa kuwa ndio ujanja zaidi mtu kuitwa mwanasiasa mahiri. Hii hali inaelezea hasa kwa nini Tanzania tumejitawala wenyewe karibia miaka 50 na mambo bado ni ki-mishen tauni tu toka ngazi ya kata hadi ofisi inayostahili heshima ya hali ya juu inayoitwa ikulu nchini. Ajabu kote huko kumebakia woga tu na wala si heshma kwao.

  Kwa wale ambao walau tumewahi japo hata kusikia kitu 'MFUMO WA SIASA ZA USHINDANI' napenda niseme kwamba hii ni sayari nyingine kabisa ambayo pale bungeni kwetu Dodoma, kama sikosei, zaidi ya ile dadi kubwa ya wabunge karibia 400 huenda chini ya asilimia 10% tu ndio wanaoifahamu kwamba ni kitu gani hasa hiki. Lakini kwa kuwa siku zote wanasiasa huhesabika kuwa ni watu mashuhuri kwa kujua kila kitu (MR / MS I-KNOW-ALLS) naona nafasi ni finyu sana kwa wale wengine zaidi ya 360 kuhiari walau kujishusha na kwenda kutafuta elimu juu ya hili ili uwepo wao bungeni uendelee kuwa na uhakika pamoja na tija kwa jamii kutokana na yeye mwenyewe na au chama chake kama kundi zima.

  Guys, an imagination of a possible political landscape without CUF around just but most ungratifying to witness.

  The case would never be the same as it would apply to TLPs, NCCR-Mageuzis and the UDPs of this World that has practically been consigned into political Limbo courtesy of the prominently trenched Self-Seeking behaviour, The Politics of Double-Tongue lashing and Own Course Self-Agrandisement by many in their ranks.

  Niliposema kwamba Juliasi yule wa DARUSO enzi zile wala si huyu hapa na kwamba kwa bahati mbaya mno akina Maalim Seif wamemfichia mi-faili nyeti zenye kuonyesha (1) sura halisi ya CUF, (2) Malengo ndani ya sera yao mpya ya 'Kujiunga Muafaka na Nguruwe Kuchakaza shamba Mabua yote' na hatima yake.

  Ndio, na wamemficha pia Juliasi faili iliobeba (3) tafsiri za wananchi Bara na Visiwani kama kweli walichokua wanakitafuta CUF ilikuani UTULIVU tu Zanzibar au AMANI KAMILI kwa kurejesha kwanza HAKI NA MASLAHI KWA UMMA wa nchi hii.

  Si utani na mikutano ya wenzetu inapoondoka Kidongo Chekundu pale kweupe Mnazi Mmoja hadi kule mitaa ya Mwisho wa Lami Gongolamboto, Mtoni kwa Azizi Ali Mara Manzese Kwa Bibi Mfuga Nyau ... kweli hii ni a Big Change in the Wrong Direction; yes it is a most demoralising experience and transition that bothe CUF are currently walking dow the political memory valleys kwa kupingana tu na Maslahi ya Wapigakura nchini.

  In fact, a more compelling question that analysts would soon surrender to evader no more is that 'of what use is an army commander if all foot soldiers are long-gone?' I just tend to hope that the NOW apparent CUF Career Presidential Candidates Hon Maalim Seif Sharrif Hamad (Visiwani) and Prof Ibrahim Haruna Lipumba will, at least, seek an escape to some remote hotels may be around Uluguru Mountains and conduct a most sincere Worst-Scenario Self-Evaluation.

  Yes, they would certainly need to do that long before they could similarly seek an independent expert hand to equally do the same to the very CUF as a party and ultimately hand down the CUF Secret Files stored far away in Chake Chake - Pemba to Juliasi Mtatiro and other remnant youths to help chat out a possible next course of action - either to Revive or Survive their own way and a lot sooner the better!!

  To this end, I just DON'T see myself leaving out CHADEMA for a more freequent (4-Month Periodical Independent & Credible) monitoring and evaluation about their yesterdays, todays and tomorrows. Waberoya, Mwanakijiji and myself can most competetly string them to this own-face behind the mirror scene for a more re-assuring future.

  And this is where all political parties, just like any other business establishment known around, are bound to most willingly go or never!! The market-based COMPETITIVE POLITICS that we tirelessly seek to live to-date (Democratic Multipartism) is just but more dynamic, most enveloping and so demand both at group and personal levels such that a POLITICAL HERO / HEROES of yesterday is NEVER guaranteed tomorrow unless they 24 / 7 choose to obay Philip Kotler's dictates to keep their eyes to the ground to catch the most correct scale of the electorates' next-day heartbeats and seek to serve them in the best way possible on TIME and in a WAY that a competitor (another political Party or an opponent within your party or across) would never far easily pick a match.

  In a nutshell, after luoghing of my friend Julious Mtatiro's most impending political misfortunes, like is lately the case with CCM, with his political party CUF that daily diminishing in value in the eyes of the HONOURABLE ELECTORATES, may I point here that the Political Landscape is fast-adjusting with youth on the steerwheels, things turning high-tech almost in a speed of a click of a computer mouse away such that the yerteryears inherently incompetence and majungu / fitina in political arena shall soon NEVER be tolerated BUT only practical positive results in public goods to the general public that shal be mattering and not even a mere name of a political party of the neighbours shall ever count.

  Wazee, huku ndiko tunakokwenda; hakuna watu kulala tena bungeni na kujigeuza wataalam wa kuzungusha maneno badala ya matunda kuonekana. Huko katika ulimwengu ulioendelea utasikia pengine chama chake Obama kimeshinda kwa wingi leo na keshokutwa kwenye Mid-term elections ukasikia wamepigwa chini zaidi ya nusu na Waheshimiwa Wapiga kura kwa kutoridhisha kiutendaji.

  Nasema na ieleweke kwamba ule utamaduni wa 'HIKI NI CHAMA CHANGU NA FAMILIA YETU NZIMA tangu enzi za babu hivyo sitoweza kukihama' itakuja kutoweka bila hata ya wengi wetu kujua. Hatutopigia kura tena (1) SURA za watu, (2) MAJINA YA VYAMA bali tu (3) kwa kiasi Gani Wametuletea sisi Wapiga Kura Matunda tuliokua tukiyatarajia.

  Hizo ndizo misingi halisi za siasa za ushindani huko tunakoelekea ambapo VIJANA WENGI NA WASOMI nchini ndio idadi yao inaendelea kuwa kubwa nchini. Hivyo kitendo cha Chama kubahatika kupewa ka-nafasi ya kuongoza na kisitumie vizuri KUJING'ARISHA mbele ya macho ya wapiga kura; badala yake kikajiroga kwenye kujiingiza kwenye Vitendo vya Kifisadi, basi siku kikipoteza nafasi hiyo ujue fika chama hicho kitatiwa LOCK-UP na wapiga kura kwa muda usiojulikana sawa yake KANU wa Kenya ambacho hivi leo kisiasa wala hakizungumzwi hata kwenye nafasi ya nne ki-umaarufu.

  Na atakayesoma maoni haya ampitishie na kiongozi wake wa chama chake, kata, wodi, jimbo na taifa ili tukija kuwatia LOCK-UP kwa uwezo wa kura zetu wasije wakasingizia hawakuelewa kama sheria za mchezo wa siasa za ushindani ni tofauti kiasi hicho.

  Mwisho nimalizie kwa kusema kwamba enyi mlioko madarakani ambao bado ndio mnaoonekana wakubwa kwa sisi Wapiga kura, malizieni salama utamu huo kwa vile wengi wetu hawajaeleweshwa; tangu hapo 2015 na kuendelea MPIGA KURA NDIYE ATAKAYEGEUKA MFALME kwa kipindi chote na wala si kwa wakati wa wiki 2 au 3 za uchaguzi tu.

  Chukua hatua ewe unayefikiria kuja kua kiongozi wa ngazi yoyote hapo baadaye kidogo ili usije ukafa bure na shinikizo la damu kwenye mfumo mpya wa siasa ndani ya mipaka yetu!!
   
 17. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sasa viongozi wa CUF wanawaogopa wananchi! KMikubwa kinachowatatiza ni kukimbiwa na umma maana chama hicho kinawapoteza sanba. Nasikia kuna mipango ya uiongozi wa chama hicho huku bara kujitenga na wafuasi waliobaki wanamuangalia Mtatiro kuchukuwa usukani katika harakati hizo za kujimega.
   
 18. J

  Joblube JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbaya zaidi kwa uelewa wao finyu wanajimaliza zaidi kwa kuishabulia CDM .Prof Pumba amepoteza mwelekeo kabisaa sikio la kufa.........
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hali inasikitisha sana na ninashangaa profesa mzima anayejidai au anayenadiwa amebobea halioni hilo. Kweli CUF inatembea gizani!
   
 20. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole CUF Hamad kawaingiza mkenge walimwamini sana ndio kosa namba tano sasa inafunga golini kwake tetetetetete
   
Loading...