Cuf kuwasilisha mbuzi aliyefungwa kwenye gunia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf kuwasilisha mbuzi aliyefungwa kwenye gunia.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Dec 26, 2010.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CUF imetangaza kuwa wiki ijayo itawasilisha kwa maandamano makubwa, rasimu ya mapendezo ya katiba mpya, kwa waziri wa sheria na katiba. Sasa suala la kujiuliza; ni wangapi katika hao watakao shiriki katika maandamano hayo, watakuwa wameiona na kuisoma hiyo rasimu, na kujiridhisha kuwa inakidhi haja? Jibu lililo dhahiri kwa swali hilo, ni kwamba watakuwa ni wachache sana. Kama hivyo ndivyo, chama hicho kinapata wapi jeuri ya kujihakikishia ya kwamba watanzania wataunga mkono jambo ambalo hawalijui? Katika hili mimi nina wasiwasi ya kwamba pengine chama hicho kinatumiwa kupotosha harakati za madai ya katiba mpya. Ikumbukwe tayari kuna na taasisi moja hapa nchini, iliyokwisha tangaza ya kuwa nayo iko mbioni kuwasilisha rasimu yake ya katiba mpya. Huko nyuma taasisi hiyo imekuwa ikitumiwa kupindisha mambo kwa manufaa ya chama tawala. Ni kutokana na hali hiyo, natoa rai kwamba watanzania tusikubali kuyumbishwa katika azma yetu ya kudai katiba mpya: Katika hatua za mwanzoni kinachohitajika siyo rasimu ya katiba, bali kuwa na muafaka wa kitaifa juu ya ni mfumo gani utatumika katika kushirikisha jamii pana katika mchakato mzima wa uandikaji wa katiba mpya.
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wanatumika walaaniwe na vinywa vya watanzani wote na chama kife kama kifo cha mende
   
 3. cumshot

  cumshot Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lets wait and see may be they have something at hand
   
 4. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Hiki chama kimeshajifia,wanachofanya ni kutapatapa tu,they are not serious.Hiyo rasimu imeandaliwa na nani na lini?kwa nini wanakubali kutumiwa kipuuzi kiasi hiki?
   
 5. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Cuf walipaswa kufanya utafiti wa matabaka mbalimbali ya jamii wakiwemo waislamu. Taarifa ya shura ya maimam inaonyesha kuwa wameanza kufanya mchakato wa katiba mpya sasa bila shaka mchango wa shura haujaingizwa kwenye katiba ympya ya cuf
   
 6. n

  nyantella JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hivi nyie CDM mna matatizo gani? CUF wameandaa rasimu ya katiba it is subject to discussion mnaanza kuchonga wakati mmekaa kama parrots mnaimba Tunataka Katiba mpya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tunataka Katiba mpya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tunataka Katiba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! it has to be written by somebody and some people au mnafikiri mkileta pombe zenu ati ni katiba watu wataipokea tu!! myopic thinkers and rhetorics! wake up and respect other parties otherwise forget your dreams of your father Slaa in the state house. Well done CUF be respectable as you are and walk tall!!! what you are doing is what a mature political party should do.
   
 7. m

  matawi JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  100% Byendangwero agree with you. Lazima watu wajue wanapoandamana wanataka nini ndo tutafika katika safari yetu. Hivyo kama wahusika watafakari ili tuepuke kuburuzana
   
 8. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  siamini kama huu ni muda muafaka wa kuwasilisha rasimu ya katiba.. nilitegemea wawasilishe maeneo yenye mapungufu na mapendekezo ya kurekebisha lakini si katiba.. kila mtu katika JF anakubaliana na dhana ya kushirikisha makundi mengi zaidi katika uandaaji wa katiba.. sasa swali ni Je CUF wamemshirikisha nani katika kuandaa hiyo rasimu?? Jamani tuwe makini katika kudai katiba.. otherwise itaonekana ni waganga njaa tu
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanaodai katiba wamekurupuka na wanaimba wimbo ambao aliyeuanzisha amekwisha wa set! (programmed)

  CUF na katiba yao, Waislamu na Katiba yao, Chadema na katiba yao, Maaskofu na katiba yao, Tucta na katiba yao...

  Ningekuwa waziri nawaambia "leteni zote tutaangalia kwa mwaka moja kila moja" hiyo itakuwa taasisi (55 x1 =55)

  Baadaye tunawaambia tumeona na mapungufu madogo madogo "tutarekebisha"

  Fashion fashion,

  kabla hawajashtuka tuna wa set kwenye another drama fashion "call it muungano", umeme, zitto,slaa ..kadhi mkuu..drama...

  I love Tanzania.
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Dec 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nitashangaa kama rasimu ya Katiba ya CUF haina mambo ya shetani aitwaye kadhi maana huyo jamaa ni muhimu kwao kuliko barabara, hospitali, shule, nk!
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna kadhi mpaka maaskofu wakubali kwanza...

  Besides mahakama siyo ushetani...ushetaji ni mambo kama ushoga, ulevi, etc...au vipi?
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Dec 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  CCM wameshawa-set CUF kuvuruga suala hili la Katiba na kama mambo menyewe ndio haya hakuna haja ya kuwa na Katiba until kuwe na right person pale Ikulu!
   
 13. N

  Nonda JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  WanaJF,

  Mimi siamini kuwa CUF wamekurupuka tu katika kipindi cha mwezi au miezi miwili kuwa wameandika rasimu mpya ya katiba mpya.

  Ninavyoelewa ni kuwa miaka ya nyuma vyama vya upinzani viliandaa rasimu ya katiba mpya.wakati huo CUF wakiwa ni kinara wa Upinzani. Hivi tumesahau kuwa siku za nyuma vyama vya Upinzani viliwahi kufanya kazi kwa pamoja katika dai hili la msingi?
  Kwa hiyo, nategemea ,CUF itakuwa inaiwasilisha Rasimu ile Ya zamani ambayo ilikuwa na Baraka ya vyama vyengine vya upinzani.

  Ningefurahi sana kama CUF wangewasiliana na vyama vyengine ili kwa umoja wao waiwasilishe kama kianzio cha mjadala wa katiba Mpya.

  WanaJF si vyema kukurupuka na kumwaga upupu humu wakati Katiba Mpya ni kilio cha kila mwananchi mpenda mabadiliko.

  CUF ni chama kimoja wapo cha siasa ambacho pia kinawakilisha kundi la wananchi katika Tanzania.
  Sisi tuwashajihishe waunganishe nguvu na hoja za kudai katiba Mpya na vyama vyengine.

  Bashing tunayoifanya ni kwa manufaa ya CCM. Kwa upande mmoja kuponda, kudharau, name-calling ya moja ya chama cha upinzani kwa sababu ya ushabiki , na kukipa hadhi na kukitukuza chama chengine ni kurudisha nyuma wimbi la kudai mabadiliko.
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Dec 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Unataka kusema kuwa ukataji mikono na kupiga watu mawe si ushetani? Na kama mambo hayo yalikuwa sawa basi tutafute kaburi la Muhammad (ambaye alikuwa mzinzi) tulipige mawe!
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sure, subirini 2015...akiwepo pale yule mkombozi mkuu kutoka zanzibar (maana ni zamu yao sasa kulinda muungano)
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukataji mikono na kupigwa mawe si baada ya kufanya Ushetani (proved) na mahakama

  Mahakama kazi yake kuadhibu wafanyao ushetani au siyo...kama wezi, wazinifu, mashoga etc...

  Kwani wewe mzinifu na mwezi mpaka ukatwe mkono? au upigwe mawe?
   
 18. N

  Nonda JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Topical,

  Nakusalimu mkuu,
  umeamka salama , naona upo.
  Nakusalimu tu.
   
 19. N

  Nonda JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Buchanan na Topical
  Munaondoka kutoka kwenye mada.
  nendeni jukwaa la dini.
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hawawezi kuungana nani atakubali ni eiza uwe CUF au uwe CDM period?

  Unaweza kuchangaya kanisa na msikiti pamoja? (mtacheza hiyo drama mpaka 2015) take my word

  I love Tanzania
   
Loading...